Uchaguzi 2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

Uchaguzi 2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

1. Tumepanga kila kanda ya Tanzania iwe na utalii.

2. Tutaongeza maeneo ya wachimbaji wadogo wadogo, tutaendelea kuwapatia leseni, vifaa na teknolojia ndogo ndogo ili kazi zao ziwe na tija.

3. Unaweza kuuza mananasi tisa, ukapata fedha ya kuweka umeme katika nyumba yako.

4. Huwezi kuwa masikini wakati dhahabu zimejaa, ardhi nzuri mnayo, mlima mrefu kuliko yote mnao.

5. Jambo la msingi, ni kujua kutumia vizuri rasilimali zeru.

6.Tulimtegemea Mungu, korona ikakoronera hukokwa wengine lakini sisi tukabaki salama.

EhdjUOLX0AAYy-Q.jpg

EhdjTvOXkAAWxqE.jpg

EhdjTSIXYAIeXBm.jpg

EhdjSxyXkAIwtao.jpg
 
Unaona kabisa kuwa utafiti wa Twaweza kama walivyosema, CCM wanaoiunga mkono ni wajinga (wasiojua kusoma na kuandika) mbumbumbu etc.

We angalia sura za wote unaona kabisa kuwa ni Lumpen proletariats , they are not class conscious! kama majuha kama magudulia wa wali wa Rungwe au sacs of potatoes as put by Lenin and Karl Max!
 
Hahahaaaa...

Hivi hiyo mbuga ya wanyama ya burigi inaingiza faida au hasara?

Wangetoa na takwimu za mapato ilizoingiza serikalini... Na tujue watalii wangapi walifika hapo burigi... Habari zilizopo Ni kuwa inatia hasara kwa gharama za uendeshaji na kusimamia wanyama...
 
Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri...
Lugha ya kampeni hapo ni kiswahili au lugha ghani ili nami nifuatilie?
 
Watanzania ni werevu....atulie...ameongea miaka 5 yote... leo hii watanzania hawa wanataka kusikia neno lenye matumaini kwao.
 
Na huko wanafunzi wameahirishiwa masomo? Mwanza kulikuwa na mafuriko ya wanafunzi uwanja wa Furahisha. Wahudhuriaji wa mkutano, zaidi ya 60% walikuwa watoto (wanafunzi).
Kwamba mkutano wa kampeni wa CCM ulikuwa furahisha au🤔?
 
Chama cha mapinduzi kitashinda mapema sana uchaguzi mkuu octobar jamii ya watanzania wameona kazi iliofanyika miaka mitano iliyo pita
 
Back
Top Bottom