Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Dogo dikteta2020 tulia dawa iingie mbona hata haiumi, hizo ni salamu za rasharasha tu, subirini zibaki wiki mbili ndio mtaijua vizuri CCMLeo katoa amri gani?
Jamaa linakiuka maadili ya uchaguzi yani hajui nini maana ya uongozi
Hahahaaaa...
Lugha ya kampeni hapo ni kiswahili au lugha ghani ili nami nifuatilie?Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri...
Kwani anahutubia kwenu acha ulofaMwambieni John atumie lugha rasmi kuhutubia. Asitumie kilugha.
Utakufa masikiniHahahaaaa..... Hoja ya ruzuku CCM?
CCM ni chama dola, mambo ya ruzuku mnaulizana huko kwenye tuvyama twenu tudogo tudogo na akina Lijuakali.
Kwani wewe ni mzima hapo ulipo kwa Joyce!Utakufa masikini
Kwamba mkutano wa kampeni wa CCM ulikuwa furahisha au🤔?Na huko wanafunzi wameahirishiwa masomo? Mwanza kulikuwa na mafuriko ya wanafunzi uwanja wa Furahisha. Wahudhuriaji wa mkutano, zaidi ya 60% walikuwa watoto (wanafunzi).
Umelewa ukabila mkuu. Ndiyo maana yanakutoka maneno haya kinywani mwako.Kwani anahutubia kwenu acha ulofa
Babu mzima unashangilia maisha magumuKwani wewe ni mzima hapo ulipo kwa Joyce!