Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Sio utajiri wa ndagu,wabongo wa kipato cha chini na cha kati wananguvu na mipango dhabit kwenye kufanikisha mambo ya starehe.
Unajua kuwa TZ Kuna watu wanapesa Sana .....lkn hawajulikani kwenye u milionea..kwa sababu weng utajiri ni wa vibwengo ambao haurusiw kuweka pesa benki
 
Kwa akili za kawaida tu au za kiutopolo, hivi geita wakisema wakenge uwanja kwa michango ya mashabiki, watajenga uwanja?
Yaaah ule ni mkoa wa dhahabu .....Kuna wadau wenye pesa sana
 
Unajua kuwa TZ Kuna watu wanapesa Sana .....lkn hawajulikani kwenye u milionea..kwa sababu weng utajiri ni wa vibwengo ambao haurusiw kuweka pesa benki
Kwaio unakubaliana na mimi watanzania wengi sio wanyonge,michango uwa wanatoa tu iwe ya harusi,matibabu,kujenga uwanja wa Simba n.k.
 
Tafsiri ya uwanja kwa Geita ni tofauti na tafsiri ya uwanja ambayo simba inatazamia kuwa nao

Kiwanja inachotaka Geita kujenga hakina hadhi kujengwa na timu kubwa na wawakilishi wa nchi na africa mashariki na kati kama Simba

Ni sawa na useme yani serikali kwenye kujenga bank kuu ya tanzania imechangisha watu kodi wakati huku mtaani kuna jamaa ana bank binafsi na kajenga kwa pesa yake

Swali ni kwamba je kwasababu zote ni bank je zina hadhi sawa?
 
Acha kupotosha wewe ngiri jike, uwanja ni H/shauri na sio Geita Gold,
 
Kwaio unakubaliana na mimi watanzania wengi sio wanyonge,michango uwa wanatoa tu iwe ya harusi,matibabu,kujenga uwanja wa Simba n.k.
Yaaah lkn ni aibu timu yenye mdhamini mkubwa.....kuomba kuchangiwa
 
Lakini pia SIMBA inaendeshwa kwa mihemko na sio weledi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…