Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mwanza umelala mno

Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita

Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale
Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend

Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi wanafanya show Geita na watu wanajaa

Geita Kuna biashara watu wana mkwanja

Geita usiku kama mchana,
Mwanza ikifika saa 3 usiku huoni mtu mjini

Kila kitu Sasa kipo Geita, Maduka, biashara, ni Geita

Mademu na mastaa wa huku Dar kila siku wanapishana airport kwenda Geita

Mwanza imekufa kifo cha kawaida
 
Ni ukosefu wa adabu sana kufananisha geita na mwanza

Kuhusu starehe ni kweli mwanza hakuna starehe sana kwa sababu mwanza ni Jiji la walokole sana hata fujo pia hakuna kabisa lakin kwa maendeleo mwanza Iko juu mara mia saba ya geita

Yaan kwa Kanda ya ziwa ni mwanza , kahama, geita then ndo kunafata kwingine
 
Geita madini yakiisha patapoa. Tuombe Mungu yasiishe maana ukiachana na madini hawana sekta nyingine nzito kiuchumi. Mwanza sekta zinagawana biashara, uvuvi, kilimo, ufugaji.

Mwanza usafirishaji wa minofu ya samaki ulipungua sana, imesalimika. Maeneo yenye uchimbaji madini yakiisha au kupungua huwa panatelekezwa.
 
Hujafika
Geita
KATORO
Buseresere
Mganza
Chato
Runzewe
 
Biashara kuu ya Geita ni dhaabu na wanufaika bado ni wachache ambao ni madoni waliohodhi maduara mengi,

Mwanza ni kitu kingine kabisa mkuu, Real Estates, viwanda, vyuo, mahoteli, makampuni kibao, shule nzuri, n.k.

Mwanza ni hub ya kanda ya ziwa.
 
Geita madini yakiisha patapoa. Tuombe Mungu yasiishe maana ukiachana na madini hawana sekta nyingine nzito kiuchumi. Mwanza sekta zinagawana biashara, uvuvi, kilimo, ufugaji.

Mwanza usafirishaji wa minofu ya samaki ulipungua sana, imesalimika. Maeneo yenye uchimbaji madini yakiisha au kupungua huwa panatelekezwa.
Unaizungumzia Geita ipo wewe, Mimi nipo long time kitambo huku..madini ni sehemu mojawapo tu, kuna kilimo na ufugaji Boss
Karibu Mbogwe uone tikiti za kale.
Kuna asali nyingi Mkuu...tunawauzia Nchi jirani hapa Masumbwe Ebwana Daaah! Nimekumbuka kitwiri, watoto wa kulia meaningful wanaita pinatibata unaipata Mkubwa?..Unafahamu numbuuu
 
Mara kibao tu, dada yangu ndio anaishi, na kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi ya kusafiri huko nilienda sana! Apart from dhahabu sijaona maajabu!
Fika
KATORO Kuna bidhaa ambazo hata Mwanza hazipo
Yaani wafanyabiasha wanatoka Mwanza wanaenda kufunga mizigo KATORO

Fika Mganza
Uone ule maji unajaza watu
Shughuli kubwa ni uvuvi wapo wakongo, wazambia biashara zinakimbia sio poa

Fika Runzewe
Uone mpunga mashine zinatema Michele unasafiri kimataifa
Pale sio poa Kuna wahuni wana mkwanja

Fika Mbogwe na Nyangwale oyaa pale sio poa

Niseme Nini kuhusu Geita mjini
Mahoteli, Maduka, biashara za mitaji ya hatari

Oyaa Geita sio kinyonge
 
Back
Top Bottom