Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

Fika
KATORO Kuna bidhaa ambazo hata Mwanza hazipo
Yaani wafanyabiasha wanatoka Mwanza wanaenda kufunga mizigo KATORO

Fika Mganza
Uone ule maji unajaza watu
Shughuli kubwa ni uvuvi wapo wakongo, wazambia biashara zinakimbia sio poa

Fika Runzewe
Uone mpunga mashine zinatema Michele unasafiri kimataifa
Pale sio poa Kuna wahuni wana mkwanja

Fika Mbogwe na Nyangwale oyaa pale sio poa

Niseme Nini kuhusu Geita mjini
Mahoteli, Maduka, biashara za mitaji ya hatari

Oyaa Geita sio kinyonge
Duhh sawa, kila mkoa unarasilimali zake! Sidhani kama mwanza pamekaa kinyonge kiasi kwamba mji unakuwa tu bila sababu! Na sio lazima na mwanza walime ndio uone wako sambamba na geita au katoro!
Bukoba wanasambaza ndizi zao kila
Kona haiwafanyi kuwa na uchumi mkubwa kuliko mikoa mingine!
 
Mwanza yaani imepoa
Hata mzungukonwa biashara sio kivile
Matajiri wengi na wafanyabiasha wanakimbilia Geita na KATORO.

Ziwa Victoria wanaishia kuliona tu
Shughuli za uvuvi na biashara ya samaki ameikamata Mhindi

Mwanza ni ngumu inazidiwa na Musoma na Kahama
 
Kwenye ziwa nakubali, maana mabondo samaki dagaa ndio tegemeo la wengi! Mzunguko wa biashara za mjini uko chini sana! Ziwa halina faida tena tunaishia kuliona kwa macho tu! Anyways ngoja tuone miaka mi5 baadae kutakuwaje!
 
Mwanza hapa kwakweli
Mji umepoa
 
Tangu useme ukitaka simu na Tv nenda mbagala usiende kariakoo nikakutoa akili kabisa
Mwanza umelala mno

Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita

Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale
Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend

Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi wanafanya show Geita na watu wanajaa

Geita Kuna biashara watu wana mkwanja

Geita usiku kama mchana,
Mwanza ikifika saa 3 usiku huoni mtu mjini

Kila kitu Sasa kipo Geita, Maduka, biashara, ni Geita

Mademu na mastaa wa huku Dar kila siku wanapishana airport kwenda Geita

Mwanza imekufa kifo cha kawaida
 
Mwanza imekufa kifo cha kawaida
Mkuu nadhani unafahamu kabisa Mwanza ndio economic hub ya Kanda ya Ziwa, ina bandari, logistics, fishing industry, banking HQs, hospitals kubwa, universities, na population density kubwa tu kuliko hiyo Geita.
Geita usiku kama mchana,
Mwanza ikifika saa 3 usiku huoni mtu mjini
Hii ni kawaida sana kwenye miji ya madini hiyo ni cycle ya commodity prices, lakini sio necessarily diversified economy.

Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi wanafanya show Geita na watu wanajaa
Hii ni normal kwa miji yenye disposable income in certain sectors, mbona Mwanza wasanii wanafanya sana show mara kwa mara? na Mwanza still hosts big events, sports like stadium activities, and regional gatherings.

Kifupi umefeli sana kujaribu kuilinganisha Mwanza na Geita Mkuu.
 
Mkuu nadhani unafahamu kabisa Mwanza ndio economic hub ya Kanda ya Ziwa, ina bandari, logistics, fishing industry, banking HQs, hospitals kubwa, universities, na population density kubwa tu kuliko hiyo Geita.

Hii ni kawaida sana kwenye miji ya madini hiyo ni cycle ya commodity prices, lakini sio necessarily diversified economy.

Hii ni normal kwa miji yenye disposable income in certain sectors, mbona Mwanza wasanii wanafanya sana show mara kwa mara? na Mwanza still hosts big events, sports like stadium activities, and regional gatherings.

Kifupi umefeli sana kujaribu kuilinganisha Mwanza na Geita Mkuu.
Nimeishi MWANZA nimesoma kule SAUT
Nimepata bahati ya kuwa Geita ila siku zijazo hapo Mwanza patamezwa
 
Mwanza huwezi ilinganisha na Geita ipo mbali sana kimaendeleo. Inafata
Kahama
Geita
Katoro. Hii katoro juzi wakati naenda site ushirombo nilipita nikabaki mdomo wazi pameendelea sana nikati ya miji mikubwa sana ilioendelea hapa tz
 
Mara kibao tu, dada yangu ndio anaishi, na kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi ya kusafiri huko nilienda sana! Apart from dhahabu sijaona maajabu!
Dhahabu inatosha kuwa ndiyo maajabu yenyewe ya Geita.
Wakijipanga vizuri kati ya mji wa Geita au Katoro mmoja wapo utafanya maajabu makubwa.
 
Back
Top Bottom