Geita inaenda kuchukua nafasi na ukubwa wa Mwanza Kanda ya Ziwa

Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania. Sikubaliani na wewe hata kidogo. Mwanza inaizidi Geita kwa mbali sana. Kulinganisha Mwanza na Geita ni sawa na kulinganisha urefu wa suruali na chupi. Au kama ni beef basi Bob Marley na. Peter Tosh.

Geita ni mji unao chipukia. Hizo starehe unazo ziona Geita, Mwanza zitakuwa zimesha zoeleka ni kitu cha kawaida. The first time nimefika Mwanza I told my friends the difference between Dar and Mwanza is only the climate but all other things are almost the same. I swear lot of Dar Es salaam in Mwanza. Mzunguko wa pesa upo vizuri sana na population ni kubwa mno.. Watake radhi wana Mwanza. Numbisa Njoo inbox uchukue namba ya Airtel Money muamala usome. Nimekuteteeni sana wakazi wa Mwanza
 
Dah!Geita hiihii ambayo hata stendi ni ya kuungaunga au ipi?
Kila baada ya miezi minne hadi sita lazima nipite Katoro na Geita na kulala kwa kazi zangu sometimes ila ni miji midogo mno kwa Mwanza
KUna jamaa anasema kuna bidhaa zipo Katoro Mwanza hazipo ni zipi hizo?
Katoro wana Hotel 1 ,Lodge za viwango vya juu labda 3 tu ndo uilinganishe na Mwanza hebu iheshimuni Mwanza.

Katoro na Geita wakimfunika Kahama ndipo waanze kumkimbiza Mwanza otherwise ni vi miji vya kawaida tu.
 
Mwanza umelala mno

Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita

Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale
Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend

Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi wanafanya show Geita na watu wanajaa

Geita Kuna biashara watu wana mkwanja

Geita usiku kama mchana,
Mwanza ikifika saa 3 usiku huoni mtu mjini

Kila kitu Sasa kipo Geita, Maduka, biashara, ni Geita

Mademu na mastaa wa huku Dar kila siku wanapishana airport kwenda Geita

Mwanza imekufa kifo cha kawaida
Sio Kahama tena? Ila huo Mkoa una Uchumi mkubwa namba 2 Kwa Kanda ya ziwa na upo top 10 Kitaifa
 
Population inasaidia nini??
Kumbe na wewe NI zero brain

Population (idadi ya watu) ni muhimu kwa sababu inasaidia kupanga maendeleo ya mji. Ukijua Mwanza ina watu wangapi, serikali na wadau wanaweza kujua ni shule ngapi zinahitajika, hospitali ngapi zijengwe, maji ya kutosha, barabara, usafiri, umeme, na huduma nyingine. Pia inasaidia wafanyabiashara kujua kama kuna soko la bidhaa au huduma zao na huwasaidia watafiti kufanya tafiti na kupanga maendeleo ya baadaye.
Yoda
 
Inakuaje Norway yenye watu Milioni 5 ina uchumi mkubwa kwa kila kitu karibu mara kumi zaidi na maendeleo mara mia kuliko sisi tulio na watu milioni 70 ??
 
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania. Sikubaliani na wewe hata kidogo. Mwanza inaizidi Geita kwa mbali sana. Kulinganisha Mwanza na Geita ni sawa na kulinganisha urefu wa suruali na chupi. Au kama ni beef basi Bob Marley na. Peter Tosh.

Geita ni mji unao chipukia. Hizo starehe unazo ziona Geita, Mwanza zitakuwa zimesha zoeleka ni kitu cha kawaida. The first time nimefika Mwanza I told my friends the difference between Dar and Mwanza is only the climate but all other things are almost the same. I swear lot of Dar Es salaam in Mwanza. Mzunguko wa pesa upo vizuri sana na population ni kubwa mno.. Watake radhi wana Mwanza. Numbisa Njoo inbox uchukue namba ya Airtel Money muamala usome. Nimekuteteeni sana wakazi wa Mwanza
Population kubwa ina faida gani?
 
Back
Top Bottom