Mambo yanabadilika usikaririMkuu Ni Fedhea Kuilinganisha Geita na Mwanza Ukiitoa Dar Hakuna Mkoa wa Kulinganisha Na Mwanza
Mkuu kuendekeza starehe usiku ndio kuja juu au?Mwanza imepoa
Geita wanakuja juu
HujafikaNi ukosefu wa adabu sana kufananisha geita na mwanza
Kuhusu starehe ni kweli mwanza hakuna starehe sana kwa sababu mwanza ni Jiji la walokole sana hata fujo pia hakuna kabisa lakin kwa maendeleo mwanza Iko juu mara mia saba ya geita
Yaan kwa Kanda ya ziwa ni mwanza , kahama, geita then ndo kunafata kwingine
Unaizungumzia Geita ipo wewe, Mimi nipo long time kitambo huku..madini ni sehemu mojawapo tu, kuna kilimo na ufugaji BossGeita madini yakiisha patapoa. Tuombe Mungu yasiishe maana ukiachana na madini hawana sekta nyingine nzito kiuchumi. Mwanza sekta zinagawana biashara, uvuvi, kilimo, ufugaji.
Mwanza usafirishaji wa minofu ya samaki ulipungua sana, imesalimika. Maeneo yenye uchimbaji madini yakiisha au kupungua huwa panatelekezwa.
Mara kibao tu, dada yangu ndio anaishi, na kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi ya kusafiri huko nilienda sana! Apart from dhahabu sijaona maajabu!Ushawahi kufika Geita?
FikaMara kibao tu, dada yangu ndio anaishi, na kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi ya kusafiri huko nilienda sana! Apart from dhahabu sijaona maajabu!