Duhh sawa, kila mkoa unarasilimali zake! Sidhani kama mwanza pamekaa kinyonge kiasi kwamba mji unakuwa tu bila sababu! Na sio lazima na mwanza walime ndio uone wako sambamba na geita au katoro!Fika
KATORO Kuna bidhaa ambazo hata Mwanza hazipo
Yaani wafanyabiasha wanatoka Mwanza wanaenda kufunga mizigo KATORO
Fika Mganza
Uone ule maji unajaza watu
Shughuli kubwa ni uvuvi wapo wakongo, wazambia biashara zinakimbia sio poa
Fika Runzewe
Uone mpunga mashine zinatema Michele unasafiri kimataifa
Pale sio poa Kuna wahuni wana mkwanja
Fika Mbogwe na Nyangwale oyaa pale sio poa
Niseme Nini kuhusu Geita mjini
Mahoteli, Maduka, biashara za mitaji ya hatari
Oyaa Geita sio kinyonge
Mwanza yaani imepoaDuhh sawa, kila mkoa unarasilimali zake! Sidhani kama mwanza pamekaa kinyonge kiasi kwamba mji unakuwa tu bila sababu! Na sio lazima na mwanza walime ndio uone wako sambamba na geita au katoro!
Bukoba wanasambaza ndizi zao kila
Kona haiwafanyi kuwa na uchumi mkubwa kuliko mikoa mingine!
Kwenye ziwa nakubali, maana mabondo samaki dagaa ndio tegemeo la wengi! Mzunguko wa biashara za mjini uko chini sana! Ziwa halina faida tena tunaishia kuliona kwa macho tu! Anyways ngoja tuone miaka mi5 baadae kutakuwaje!Mwanza yaani imepoa
Hata mzungukonwa biashara sio kivile
Matajiri wengi na wafanyabiasha wanakimbilia Geita na KATORO.
Ziwa Victoria wanaishia kuliona tu
Shughuli za uvuvi na biashara ya samaki ameikamata Mhindi
Mwanza ni ngumu inazidiwa na Musoma na Kahama
Mwanza hapa kwakweliKwenye ziwa nakubali, maana mabondo samaki dagaa ndio tegemeo la wengi! Mzunguko wa biashara za mjini uko chini sana! Ziwa halina faida tena tunaishia kuliona kwa macho tu! Anyways ngoja tuone miaka mi5 baadae kutakuwaje!
Mwanza umelala mno
Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita
Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale
Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na starehe kubwa kila siku weekend
Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi wanafanya show Geita na watu wanajaa
Geita Kuna biashara watu wana mkwanja
Geita usiku kama mchana,
Mwanza ikifika saa 3 usiku huoni mtu mjini
Kila kitu Sasa kipo Geita, Maduka, biashara, ni Geita
Mademu na mastaa wa huku Dar kila siku wanapishana airport kwenda Geita
Mwanza imekufa kifo cha kawaida
Vijana wanapakimbia sio!Mwanza hapa kwakweli
Mji umepoa
Mkuu nadhani unafahamu kabisa Mwanza ndio economic hub ya Kanda ya Ziwa, ina bandari, logistics, fishing industry, banking HQs, hospitals kubwa, universities, na population density kubwa tu kuliko hiyo Geita.Mwanza imekufa kifo cha kawaida
Hii ni kawaida sana kwenye miji ya madini hiyo ni cycle ya commodity prices, lakini sio necessarily diversified economy.Geita usiku kama mchana,
Mwanza ikifika saa 3 usiku huoni mtu mjini
Hii ni normal kwa miji yenye disposable income in certain sectors, mbona Mwanza wasanii wanafanya sana show mara kwa mara? na Mwanza still hosts big events, sports like stadium activities, and regional gatherings.Mara Kibao naona wasanii wakubwa hapa Tanzania na nje ya nchi wanafanya show Geita na watu wanajaa
Na darYaah wanakimbilia Geita, KATORO huko
Nimeishi MWANZA nimesoma kule SAUTMkuu nadhani unafahamu kabisa Mwanza ndio economic hub ya Kanda ya Ziwa, ina bandari, logistics, fishing industry, banking HQs, hospitals kubwa, universities, na population density kubwa tu kuliko hiyo Geita.
Hii ni kawaida sana kwenye miji ya madini hiyo ni cycle ya commodity prices, lakini sio necessarily diversified economy.
Hii ni normal kwa miji yenye disposable income in certain sectors, mbona Mwanza wasanii wanafanya sana show mara kwa mara? na Mwanza still hosts big events, sports like stadium activities, and regional gatherings.
Kifupi umefeli sana kujaribu kuilinganisha Mwanza na Geita Mkuu.
Vijana wengi wanakimbilia huko! Huko fursa ziko kibao! Za kila aina..Dar ni habari nyingine
Dar ndo Tanzania
Naongelea dar.. geita mimi bado sana apart from kilimo na mgodi sijaona!Yah Geita fursa zipo
Vijana wanakimbiza, gap lipo la biashara.
Ila siwezi kuilinganisha Geita na Dar hata kidogo
Kati ya mji unaotegemea sekta moja na mji unaotegemea sekta nyingi, ni upi una stability ya muda mrefu?Nimeishi MWANZA nimesoma kule SAUT
Nimepata bahati ya kuwa Geita ila siku zijazo hapo Mwanza patamezwa
Dhahabu inatosha kuwa ndiyo maajabu yenyewe ya Geita.Mara kibao tu, dada yangu ndio anaishi, na kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi ya kusafiri huko nilienda sana! Apart from dhahabu sijaona maajabu!