Geita iwe Kanda maalum ya Kipolisi kama ilivyo Dar es salaam na Mara

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Watu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno

Geita Kuna uharifu wa kutisha, ubabe, ukatili, unyanganyi, ujambazi wa hali ya juu, yaani habari zingine Huwa hazifiki mitandaoni

Ni kawaida watu kuvamia gulio, minada ya mifuko na masoko kuiba na kuondoka

Ukifika Katoro, Runzewe, Bukombe Mganza, Geita Mjini na Nyang'wale, Biharamlo, na Mganza huo umafia upo na watu washazoea

Albino, vikongwe, watoto au wazazi Kwa Imani za kishirikina ni matukio mengi ya kawaida

Geita polisi hawana nguvu, nakumbuka nikiwa Katoro 2014 Kuna muhuni alikamatwa Kwa ubakaji, basi wahuni usiku wakamtafuta mkuu wa kituo nyumbani kwake wakamuamrisha amutoe mahabusu na akatii akamfungulia yule bwana akatoroka

Mkoa wa Geita unatisha, sema ndo hivo haisikiki, kama mtu atabisha akaishi Geita hata wiki 1 litapigwa tukio atabaki mdomo wazi

Uharifu unaofanyika Geita hata Dar es salaam na Mara hazijafika nusu

Serikali ikiweka Kanda maalum ya Kipolisi itapunguza uharifu kama walivyodhibiti mkoa wa Mara, Sasa umetulia Wakurya wamekuwa wapole
 
Sasa kama mbunge ni kujua Kusoma na kuandika,kuna ustaarabu kweli huko!
 
Nimekaa mwanza 17 yrs. Kuna kipindi nilikuwa najiuliza, hivi Kuna mkoa unafikia hata robo ya ukatili hapa Tanzania? Shida ya mikoa ile Ni Kama wanakautawala kao na maamuzi yao ambayo kimsingi mengi hayaakisi sheria za nchi. Kuna nzengo hizo kwenye jamii mtu akikosea anapigwa faini ya ng'ombe au viboko. Watu wengi Sana wameuawa kwa kuchapwa viboko mwili mzima.
Mbaya zaidi hata uongozi wa serikali Mara nyingi wanamaamuzi yao tu yakibabe kana kwamba kule Ni mbaali Sana na nchi. Huzuni Sana kwakweli
 
Geita ni nchi nyingine ndani ya Tanzania
 
Watu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno

Geita Kuna uharifu wa kutisha, ubabe, ukatili, unyanganyi, ujambazi wa hali ya juu, yaani habari zingine Huwa hazifiki mitandaoni

Ni kawaida watu kuvamia gulio, minada ya mifuko na masoko kuiba na kuondoka

Ukifika Katoro, Runzewe, Bukombe Mganza, Geita Mjini na Nyang'wale, Biharamlo, na Mganza huo umafia upo na watu washazoea

Albino, vikongwe, watoto au wazazi Kwa Imani za kishirikina ni matukio mengi ya kawaida

Geita polisi hawana nguvu, nakumbuka nikiwa Katoro 2014 Kuna muhuni alikamatwa Kwa ubakaji, basi wahuni usiku wakamtafuta mkuu wa kituo nyumbani kwake wakamuamrisha amutoe mahabusu na akatii akamfungulia yule bwana akatoroka

Mkoa wa Geita unatisha, sema ndo hivo haisikiki, kama mtu atabisha akaishi Geita hata wiki 1 litapigwa tukio atabaki mdomo wazi

Uharifu unaofanyika Geita hata Dar es salaam na Mara hazijafika nusu

Serikali ikiweka Kanda maalum ya Kipolisi itapunguza uharifu kama walivyodhibiti mkoa wa Mara, Sasa umetulia Wakurya wamekuwa wapole
Juzi tukiwa katika private car kutoka Geita kwenda mahali flan tukakuta mtu amewekwa chini anapigwa mapanga walivyoona ni gari wakasogea pembeni gafra wakatuvamiwa na sisi jamaa zangu wawili Wana hali mbaya me jamaa mwengine tulifanikiwa kukimbia kwa mbio za hatari YOTE NAMSHUKURU MUNGU
 
Geita ni kawaida sana watu kuchinjana, haiwezi kupita wiki mtu hajachinjwa
Jana nimeona video ya yule kijana aliyeuliwa na viongozi wa serikali, nikaona reaction za watu kushtuka nikasema hawa ukiwapeleka pale Katoro, Geita au Mganza hata week waone makoromeo ndo watazimia
 
Juzi tukiwa katika private car kutoka Geita kwenda mahali flan tukakuta mtu amewekwa chini anapigwa mapanga walivyoona ni gari wakasogea pembeni gafra wakatuvamiwa na sisi jamaa zangu wawili Wana hali mbaya me jamaa mwengine tulifanikiwa kukimbia kwa mbio za hatari YOTE NAMSHUKURU MUNGU
Hayo ndo maisha halisi ya Geita
 
Back
Top Bottom