Sasa kama mbunge ni kujua Kusoma na kuandika,kuna ustaarabu kweli huko!Watu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno
Geita Kuna uharifu wa kutisha, ubabe, ukatili, unyanganyi, ujambazi wa hali ya juu, yaani habari zingine Huwa hazifiki mitandaoni
Ni kawaida watu kuvamia gulio, minada ya mifuko na masoko kuiba na kuondoka
Ukifika Katoro, Runzewe, Bukombe Mganza, Geita Mjini na Nyang'wale, Biharamlo, na Mganza huo umafia upo na watu washazoea
Albino, vikongwe, watoto au wazazi Kwa Imani za kishirikina ni matukio mengi ya kawaida
Geita polisi hawana nguvu, nakumbuka nikiwa Katoro 2014 Kuna muhuni alikamatwa Kwa ubakaji, basi wahuni usiku wakamtafuta mkuu wa kituo nyumbani kwake wakamuamrisha amutoe mahabusu na akatii akamfungulia yule bwana akatoroka
Mkoa wa Geita unatisha, sema ndo hivo haisikiki, kama mtu atabisha akaishi Geita hata wiki 1 litapigwa tukio atabaki mdomo wazi
Uharifu unaofanyika Geita hata Dar es salaam na Mara hazijafika nusu
Serikali ikiweka Kanda maalum ya Kipolisi itapunguza uharifu kama walivyodhibiti mkoa wa Mara, Sasa umetulia Wakurya wamekuwa wapole
Mkuu hii picha ume weka kwenye profile yako ina nikumbusha home nime izoom mpaka mate yakanitoka.Huo mkoa una ushenzi mwingi sana
Serikali wala haijali loloteGeita panatisha
Kujua kusoma na kuandika kuna shida gani kwanSasa kama mbunge ni kujua Kusoma na kuandika,kuna ustaarabu kweli huko!
Tunafuatilia Takwimu zinazoonyesha kwamba Geita inaongoza kwa Mauaji Duniani kwa maeneo yasiyo na VitaPia kamanda Alfons Mawazo aliuwawa huko Geita 2016
Aisee 😀Ndio Mkoa unaoongoza kwa Ukatili Barani Africa
Geita ni nchi nyingine ndani ya TanzaniaNimekaa mwanza 17 yrs. Kuna kipindi nilikuwa najiuliza, hivi Kuna mkoa unafikia hata robo ya ukatili hapa Tanzania? Shida ya mikoa ile Ni Kama wanakautawala kao na maamuzi yao ambayo kimsingi mengi hayaakisi sheria za nchi. Kuna nzengo hizo kwenye jamii mtu akikosea anapigwa faini ya ng'ombe au viboko. Watu wengi Sana wameuawa kwa kuchapwa viboko mwili mzima.
Mbaya zaidi hata uongozi wa serikali Mara nyingi wanamaamuzi yao tu yakibabe kana kwamba kule Ni mbaali Sana na nchi. Huzuni Sana kwakweli
Geita ni kawaida sana watu kuchinjana, haiwezi kupita wiki mtu hajachinjwaAisee 😀
Tunashukuru sana kwa uzi huuGeita ni nchi nyingine ndani ya Tanzania
Juzi tukiwa katika private car kutoka Geita kwenda mahali flan tukakuta mtu amewekwa chini anapigwa mapanga walivyoona ni gari wakasogea pembeni gafra wakatuvamiwa na sisi jamaa zangu wawili Wana hali mbaya me jamaa mwengine tulifanikiwa kukimbia kwa mbio za hatari YOTE NAMSHUKURU MUNGUWatu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno
Geita Kuna uharifu wa kutisha, ubabe, ukatili, unyanganyi, ujambazi wa hali ya juu, yaani habari zingine Huwa hazifiki mitandaoni
Ni kawaida watu kuvamia gulio, minada ya mifuko na masoko kuiba na kuondoka
Ukifika Katoro, Runzewe, Bukombe Mganza, Geita Mjini na Nyang'wale, Biharamlo, na Mganza huo umafia upo na watu washazoea
Albino, vikongwe, watoto au wazazi Kwa Imani za kishirikina ni matukio mengi ya kawaida
Geita polisi hawana nguvu, nakumbuka nikiwa Katoro 2014 Kuna muhuni alikamatwa Kwa ubakaji, basi wahuni usiku wakamtafuta mkuu wa kituo nyumbani kwake wakamuamrisha amutoe mahabusu na akatii akamfungulia yule bwana akatoroka
Mkoa wa Geita unatisha, sema ndo hivo haisikiki, kama mtu atabisha akaishi Geita hata wiki 1 litapigwa tukio atabaki mdomo wazi
Uharifu unaofanyika Geita hata Dar es salaam na Mara hazijafika nusu
Serikali ikiweka Kanda maalum ya Kipolisi itapunguza uharifu kama walivyodhibiti mkoa wa Mara, Sasa umetulia Wakurya wamekuwa wapole
Jana nimeona video ya yule kijana aliyeuliwa na viongozi wa serikali, nikaona reaction za watu kushtuka nikasema hawa ukiwapeleka pale Katoro, Geita au Mganza hata week waone makoromeo ndo watazimiaGeita ni kawaida sana watu kuchinjana, haiwezi kupita wiki mtu hajachinjwa
Hayo ndo maisha halisi ya GeitaJuzi tukiwa katika private car kutoka Geita kwenda mahali flan tukakuta mtu amewekwa chini anapigwa mapanga walivyoona ni gari wakasogea pembeni gafra wakatuvamiwa na sisi jamaa zangu wawili Wana hali mbaya me jamaa mwengine tulifanikiwa kukimbia kwa mbio za hatari YOTE NAMSHUKURU MUNGU
Hahaha ndio nchini geita.Geita ni nchi nyingine ndani ya Tanzania