Uchaguzi 2020 Geita Mjini: Mbinu chafu dhidi ya Upendo Peneza

Uchaguzi 2020 Geita Mjini: Mbinu chafu dhidi ya Upendo Peneza

leo ndio nimejua Upendo Peneza anagombea ubunge, alisababisha mnyika atake kunywa sumu baada ya kumuacha
Unamaanisha baada ya hapo wewe ndio ulimstiri mnyika? Ni swali tu mkuu na ukumbuke sijamhusisha Mnyika bali mnyika kama nilivyokunukuu
 
Maeneo mengi CCM wana hali mbaya mno; ni lazima.watatumia mbinu ovu kujaribu kuokoa jahazi.

Hata wao hawakutegemea kama mgombea wao atapata wakati mgumu hivi..

Kweli watanzania ni WAJUMBE tosha!!
 
Tunamwomba MUNGU sana HAKI na UPENDO washinde. Ili tupate furaha ya Moyo tuliyoikosa kwa miaka 5
Yaani muruhusiwe kusafiri kwenda Ulaya na amerika bila sababu? hiyo haitokei! Zoea tu! Ishi kwa kipato halali.
 
Kuna jamaa zangu kibao ni maticha wanaosimamia uchaguzi kila kitu wanatueleza na ukweli ni kwamba wanakubali kwa mdomo huko kwa wakurugenzi but practically hawatafanya huo ujinga
Kesho, pamoja na wapiga kura, wakala ndiye kila kitu. Wakala: usitoke kituoni hadi mwisho wa kuhesabu kura! Pia, mtakapohesabu kura hakikisha kuwa jumla yake inashabihiana na vibutu vya kitabuni na orodha ya kituo
 
Mkuu kumbe wewe ni msimamizi?? Wewe ndiye uhakikishe unatenda haki. Ukiona hawakuelewi piga ukunga
Mimi Bora waniue tuu, kumbeba MTU asiyebebeka big NO
 
Mkuuu hayo uliyoandika ndoo hayo hayo tuliolezwa na kulazimishwa kuyafanya huku Tanga,mm bora kazi wanifukuze kuliko kutenda dhuluma ya wazi wazi na kujitafutia laana ya wananchi.Anaejua maisha ya mwanadamu ni Mungu peke yake,hata hawa wanao tutishia kuwa hata kazi watatufukuza hawajui hata hiyo j'5 kama watafika.Mungu awalaaani wenye kufanya dhuluma na awape misuko suko kwenye maisha yao wasipate raha kwenye viti hivyo wanavyo vitafuta kwa nguvu
Tufanye kazi yetu Kwa mujibu wa Sheria na viapo, tumeapa kutenda kazi Kwa mujibu wa Sheria, aliyeshindwa apewe haki yake aliyeshindwa pia apewe haki yake!
 
1. Maeneo ambayo hasa ndio ngome yako wameambiwa wahakikishe wanam-frustate wakala wako, akipaniq wataagiza polisi amuondoe Kwenye kituo halafu kitakachofuata kura za kimamluki zitapigwa Kwa Kanyasu na Magufuli

(Namna ya kushughulika na hili wakala atulie asipaniki hata kama atachokozwa)


Makamanda nature yao ni kupanick na kukunja ngumi kama Mbowe, baada ya hapo anapigwa Tanganyika Jack, matokeo yatamkuta sero...
Ila niulize mtu mzima na akili zako timamu unapanikiswa na wewe unapaniki, na kwanini sio mawakala wenzako mkaana wapo mawakala wa vyama vingi tu na sio chadema peke yenu!
 
Kura za wizi ukitaka kumuumbua mtu aliyeziongeza ukimaliza kuhesabu linganisheni na zile zilizochomolewa kwenye kitabu na siyo zile zinazotoka kwenye box la kura peke yake then angalia idadi ya wapiga kura sehemu husika hata mtu akisema tumwage kura tuhesabu tena wewe mkubalie then mwambie mulinganishe na kwenye kitabu ni karatasi ngapi zilichanwa wakati wa kupiga kura kama Kuna kura zilizotoka nje ya kitabu husika mwizi anajulikana, hiyo mbinu hata Zanzibar wakiitumia kwenye kura za tarehe 27 mawakala waambiwe kila kituo wahesabu karatasi zilizotoka kwenye kitabu kila kituo ni ngapi waweke record.
 
Iyo mbinu no 1 wameambiwa mawakala wa CCM Tanzania nzima. CCM wametoa kabisa maelekezo kama Kura zinahesabiwa na mawakala wao wakiona wamezidiwa kwenye kura basi waanzishe fujo kituoni na baadae wakala wa Upinzani atatolewa nje alafu msimamizi wa Uchaguzi ataweka kura bandia kwenye kituo. Wakirudishwa ndani kura zikianza kuhesabiwa tena itaonekana CCM wanaongoza
 
Upendo hawezi mshinda kanyasu asilani. Arudi tu kwa Mwenyekiti wake akatoe vitu maalum apewe viti maalum. Chama cha Mbowe kimefikia mwisho wake. CCM chama dume.
 
Kila wakala ahakikishe anajua namba ya mwisho ilipoishia kwenye karatasi ya kupigia Kura na siyo kuhesabu tu kwenye box, Kura za jumla zipo kwenye kitabu Cha kupigia kura. Then ndo Kura za mmoja mmoja zitaganyika ni ngapi? Ukijenga nyumba unatakiwa utafute mbinu za wezi ili ujue jinsi ya kuzizuia Sasa hivi kazi iwe kuwapa masomo mawakala na jinsi ya kuepuka wizi.
 
Kanue
CHADEMA ni watu wa vurugu na uongo

Mnasingizia baada ya kukataliwa na Watanzania
Kanye ulale mtoto wa mama/kula kulala.waulize CCM wenye akili timamu, Kanyasu ameshikwa vibaya na Upendo.
Alikuwa amejisahau sana,hata iweje hawampigii Kura hata CCM wenyewe.
Kesho kutwa uje hapa jf
 
Back
Top Bottom