Uchaguzi 2020 Geita Mjini: Mbinu chafu dhidi ya Upendo Peneza

Uchaguzi 2020 Geita Mjini: Mbinu chafu dhidi ya Upendo Peneza

Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Maaaakumando wengine wanatamka Makomando,wanapiga ngoma kali sana hawa jamaa
 
Daaah upendo peneza mdogo wangu umefanya mambo ya kipumbavu aiseee.
 
Back
Top Bottom