Uchaguzi 2020 Geita Mjini: Mbinu chafu dhidi ya Upendo Peneza

ukabidhi simu Kwa msimamizi wa kituo. Hii ni Mbinu Yao, hakuna Sheria inayolazimisha wakala kutokuwa na simu kwenye kituo, tulichoagizwa sisi wasimamizi wakala akigoma kukabidhi simu agiza polisi akamatwe na atiwe ndani asitoke
simu wawaachie wenzao nje ya meta 200. watazichukua mara baada ya uchaguzi, kura kuhesabiwa kituoni na kura kutangazwa. Ninakushauri usahihishe pale unaposema kuwa kura zitabadilshwa kwenye vituo vya majumuisho vya kata. Kura za mbunge hazipelekwi wala kujumulishwa kwenye kata bali halmashauri.
 
Labda kura za jamii forum

Uyo msichana wenu hawezi kushinda hata udiwani
Kanue

Kanye ulale mtoto wa mama/kula kulala.waulize CCM wenye akili timamu, Kanyasu ameshikwa vibaya na Upendo.
Alikuwa amejisahau sana,hata iweje hawampigii Kura hata CCM wenyewe.
Kesho kutwa uje hapa jf
 
EhLFMOPWoAEnHIn.jpg
 
Kuna jamaa zangu kibao ni maticha wanaosimamia uchaguzi kila kitu wanatueleza na ukweli ni kwamba wanakubali kwa mdomo huko kwa wakurugenzi but practically hawatafanya huo ujinga
Mkuu nilidhani Mwl mmoja jirani yangu ananidanganya kumbe hii issue ni kweli kiasi hichi......ila pia huyu jirani yangu Mwl amesema atasimamia na haki
 
Wamefanya kampeni pekeao miaka 5, lakini chek wanavyohangaika na mbinu za hovyo!
 
Mkuu nilidhani Mwl mmoja jirani yangu ananidanganya kumbe hii issue ni kweli kiasi hichi......ila pia huyu jirani yangu Mwl amesema atasimamia na haki
Mungu ambariki yeye na familia yake!
 
Wasalaam
Upendo Peneza najua unapita hapa au wasaidizi wako wanapita hapa, kuna Mbinu chafu kuzuia ushindi wako Kesho na haya yanafanywa na msimamizi wa uchaguzi Geita Mjini akushirikiana na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi.

Semina zilizofanyika Juzi na Jana wasimamizi wa vituo wamepewa maelekezo kuhakikisha kanyasu na magufuli wanashinda Kwa namna yeyote, wanakiri kabsa kuwa hali ni mbaya Kwa kanyasu na Kwa magufuli pia.

Mbinu watakazotumia.

1. Maeneo ambayo hasa ndio ngome yako wameambiwa wahakikishe wanam-frustate wakala wako, akipaniq wataagiza polisi amuondoe Kwenye kituo halafu kitakachofuata kura za kimamluki zitapigwa Kwa Kanyasu na Magufuli

(Namna ya kushughulika na hili wakala atulie asipaniki hata kama atachokozwa)

2. Maeneo mengi ambayo kuna watu hawajui kusoma na kuandika mf. Kaseni, Bwihegule, Nyaseke, Gamashi,, Bumanji na vijiji vya ndani kabsa wataweka MTU wa CCM kuwasaidia kupiga kura Kwa Kanyasu na Magufuli, Sheria inasema MTU mmoja asaidie mtu mara moja lakini tumeelekezwa lazima MTU wa CCM ambaye amepangwa kuwasaidia wewe kama msimamizi wa kituo umtambue na umruhusu kufanya hivyo ili kuokoa chama.

3. Mawakala kukabidhi simu Kwa msimamizi wa kituo. Hii ni Mbinu Yao, hakuna Sheria inayolazimisha wakala kutokuwa na simu kwenye kituo, tulichoagizwa sisi wasimamizi wakala akigoma kukabidhi simu agiza polisi akamatwe na atiwe ndani asitoke,

(namna ya kushughulikia hili mawakala wako wasiingie Kwenye huu mtego watatolewa wote alafu kura zitaibiwa, watulie ni Bora wanyang'anywe simu ila wao wabaki Kwenye vituo kulinda kura)

4. Hizo zote juu zikikwama, matokeo yatabadilishwa Kwenye vituo vya kata Kwa msimamizi msaidizi

(namna ya kushughulikia hili hakikisha Una wakala anayejielewa Kwenye kila kituo cha kata Kwenye majumuisho ya kura, usiwaamini na kuwaachia madiwani pekee)

4. Hakikisha unaweka kituo chako cha kukusaidia kukusanya matokeo (nakala za matokeo za mbunge na rais pindi yanapobandikwa) hili unaweza kulifanya Kwa kanda, kanda ya kasamwa uwe na kituo na pia kanda ya Geita uwe na kituo ili kufikia SAA 2 usiku uwe na nakala zote za matokeo ya ubunge na urais, (nasisitiza nakala za matokeo vituoni uwe nazo wewe na uzitunze vizuri)

5. Vituo vilivyopo Kwenye shule za Nyankumbu girls, Geseco, kasamwa secondary kuwa navyo makini wanafunzi wenye Kadi za kupigia kura wanalazimishwa kumpigia kanyasu na magufuli Kwa nguvu, na wanaweza hata kutumia wanafunzi wasiona Kadi kupiga kura za maruhani

Baada ya hapo unaweza kujumlisha matokeo yako ukiwa umeshinda anzeni kusheherekea ushindi ukimsubiri ndugu apolinary akutangaze, ukishindwa kuwa na nakala za matokeo yako na rais mapema umeliwa mdogo wangu

Tumeapa kutenda haki na sio kusaidia wizi Kwa CCM

Tunakupenda Sana, kila lililo ovu juu yako halitafanikiwa!
Hayo yakifanyika kuiba kura, nyumbani kwa msimamizi kusikalike!
 
Wasalaam,

Upendo Peneza najua unapita hapa au wasaidizi wako wanapita hapa, kuna Mbinu chafu kuzuia ushindi wako Kesho na haya yanafanywa na msimamizi wa uchaguzi Geita Mjini akushirikiana na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi.

Semina zilizofanyika Juzi na Jana wasimamizi wa vituo wamepewa maelekezo kuhakikisha kanyasu na magufuli wanashinda Kwa namna yeyote, wanakiri kabsa kuwa hali ni mbaya Kwa kanyasu na Kwa magufuli pia.

Mbinu watakazotumia
1. Maeneo ambayo hasa ndio ngome yako wameambiwa wahakikishe wanam-frustate wakala wako, akipaniq wataagiza polisi amuondoe Kwenye kituo halafu kitakachofuata kura za kimamluki zitapigwa Kwa Kanyasu na Magufuli

(Namna ya kushughulika na hili wakala atulie asipaniki hata kama atachokozwa)

2. Maeneo mengi ambayo kuna watu hawajui kusoma na kuandika mf. Kaseni, Bwihegule, Nyaseke, Gamashi,, Bumanji na vijiji vya ndani kabsa wataweka MTU wa CCM kuwasaidia kupiga kura Kwa Kanyasu na Magufuli, Sheria inasema MTU mmoja asaidie mtu mara moja lakini tumeelekezwa lazima MTU wa CCM ambaye amepangwa kuwasaidia wewe kama msimamizi wa kituo umtambue na umruhusu kufanya hivyo ili kuokoa chama.

3. Mawakala kukabidhi simu Kwa msimamizi wa kituo. Hii ni Mbinu Yao, hakuna Sheria inayolazimisha wakala kutokuwa na simu kwenye kituo, tulichoagizwa sisi wasimamizi wakala akigoma kukabidhi simu agiza polisi akamatwe na atiwe ndani asitoke,

(namna ya kushughulikia hili mawakala wako wasiingie Kwenye huu mtego watatolewa wote alafu kura zitaibiwa, watulie ni Bora wanyang'anywe simu ila wao wabaki Kwenye vituo kulinda kura)

4. Hizo zote juu zikikwama, matokeo yatabadilishwa Kwenye vituo vya kata Kwa msimamizi msaidizi

(namna ya kushughulikia hili hakikisha Una wakala anayejielewa Kwenye kila kituo cha kata Kwenye majumuisho ya kura, usiwaamini na kuwaachia madiwani pekee)

4. Hakikisha unaweka kituo chako cha kukusaidia kukusanya matokeo (nakala za matokeo za mbunge na rais pindi yanapobandikwa) hili unaweza kulifanya Kwa kanda, kanda ya kasamwa uwe na kituo na pia kanda ya Geita uwe na kituo ili kufikia SAA 2 usiku uwe na nakala zote za matokeo ya ubunge na urais, (nasisitiza nakala za matokeo vituoni uwe nazo wewe na uzitunze vizuri)

5. Vituo vilivyopo Kwenye shule za Nyankumbu girls, Geseco, kasamwa secondary kuwa navyo makini wanafunzi wenye Kadi za kupigia kura wanalazimishwa kumpigia kanyasu na magufuli Kwa nguvu, na wanaweza hata kutumia wanafunzi wasiona Kadi kupiga kura za maruhani

Baada ya hapo unaweza kujumlisha matokeo yako ukiwa umeshinda anzeni kusheherekea ushindi ukimsubiri ndugu apolinary akutangaze, ukishindwa kuwa na nakala za matokeo yako na rais mapema umeliwa mdogo wangu

Tumeapa kutenda haki na sio kusaidia wizi Kwa CCM

Tunakupenda Sana, kila lililo ovu juu yako halitafanikiwa!
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Kura za wizi ukitaka kumuumbua mtu aliyeziongeza ukimaliza kuhesabu linganisheni na zile zilizochomolewa kwenye kitabu na siyo zile zinazotoka kwenye box la kura peke yake then angalia idadi ya wapiga kura sehemu husika
Maccm wakiona unaelekea kuwazidi kete wanaita wasaidizi wao, yaani polisi, unahifadhiwa sero hadi baada ya "mshindi" wao kutangazwa
 
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Hata ww kada imekugusa?!
Au una interest pale? Maana ile picha.. daah, u look cute together.

Ila seriously, CCM wamefanya dhambi kuu, aliyeshindwa anapewa Ushindi, Mshindi wa kweli anabwagwa akihoji anaswekwa korokoroni!!!

Hata sheitwani atakuwa ameduwaa
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
Wakutakiwa kuacha ujinga ni nyie CCM sio CHADEMA!
 
Back
Top Bottom