Geita: Mume amchinja mke wake na kisha yeye kujichoma kisu tumboni

Geita: Mume amchinja mke wake na kisha yeye kujichoma kisu tumboni

Inaonyesha kulikua na sabufa imefunguliwa vol ya juu kabsa harafu huyo mwanaume baada ya kumchinja mke


ndipo alijaribu kujichija nayeye shingoni sijui akaona maumivu yanazidi maana pembeni kunaonekana kulikua na shati aliivua kwaajiri ya kurahisisha kitendo cha kujichoma kisu tumboni

ameacha watoto saba mmoja yupo 4m5wa kike mwingine 4m4 amehitim
Anachosema huyo jamaa hapo inawezekana pia.
 
Kanda ya ziwa wana matatizo gani? Hiii mikoa ni vyema ingekuwa kenya na Rwanda inatuchafua sana sisi watanzania
 
Siku hizi ukikuta sabufu inapiga mziki mkubwa ni vizuri kutoa taarifa polisi au kuita majirani.
 
Back
Top Bottom