Uchaguzi 2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

Ccm na Al-shababy ni vikundi vya kigaidi!
Ccm mpya is a certified gang criminal like others terrorist group,wanahitaji Nyerere afufuke awape ushauri hichi si kizazi cha miaka ya 70 hiki ni dotcom kina global vision
 
Ccm mpya is a certified gang criminal like others terrorist group,wanahitaji Nyerere afufuke awape ushauri hichi si kizazi cha miaka ya 70 hiki ni dotcom kina global vision
why today you choose to be a mediocre?
 
Huwezi kuishinda CCM kwa kukubari unyonge na kulialia kila siku.

Ukitaka kuheshimiwa na CCM ni jino kwa jino, hakuna namna nyingine hata Polisi wanaweza kuwaheshimu.
Kama ilivyo tunduma.2015 ccm waliua mtu wa chadema wanavuka barabarani tu baada ya kuua wakatokea wengine wakaua wa ccm. Mpaka kesho ccm wameacha UPUMBAVU wa namna hii
 
tutajuaje kama hawajaichoma na kuibomoa wenyewe?
 
Huyu ni mrundi arudi kwao toka ameingia ni mauaji,dhuluma,uonevu,ufisadi etc.yani ben ametuachia mtu mwenye mental case kabisa
 
Mbona unaumia sana! Hiyo serikali ni baba yako kiasi cha kuumia kupitiliza inaposemwa? Ina haki gani sasa ya kuwatawala wananchi iwapo inafanya vitendo vya kibaguzi na kushindwa kuwalinda baadhi ya raia na mali zao?

Unafiki tu umekujaa.
Niwajibu wake kuitetea serikali ya taifa lake kwa maadui wote wa nje na ndani ya nchi kama wewe.
 
Chadema mnapenda kukuza mambo sana eti nyumba imechomwa moto video yato hakuna sehemu nyumba imechomwa moto bali ni bajaji imeungua ni kama vile aliye unguza alikuwa yupo hapo hapo na maji ya kuzimia moto, moto wa kwenye chombo cha moto wa dakika mbili hiyo rangi ya blue kwenye bajaji isingekuwa inaonekana ebu acheni drama.
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Serikali ni magufuli serikali ni Majaliwa serikali ni mawaziri ambao wote ni wanaccm waliojua raha ya kula pesa za umma .

Kama ambavyo huwezi kuihubiri injili bila kumtaja SHETANI ndivyo ambavyo huwezi kuyasema maovu ya nchi hii bila kuitaja serikali ya ccm.
Jeshi la polisi na ccm ni kopo na mfuniko wake.Hata makundi mengi ya vyombo vya ulinzi kama jwtz wameanza kujifunika blanketi la ccm ni aibu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
Acha upofu wa akili . Tundu Lisu hajavamia.
 
Mmeanza tena kama mlivyokuwa mkichoma ofisi zenu
 
Jeshi la Polisi mkoani Geita, linawasaka watu zaidi ya 10 waliofanya uharibifu wa mali kwenye nyumba 3 tofauti za wagombea Udiwani na Ubunge jimbo la Chato kupitia CHADEMA.

tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 13, 2020, ambapo walikuwa wanatarajia kumpokea mgombea Urais wa chama hicho, Tundu Lissu.

Kamanda wa polisi mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe, amesema mali zilizoharibiwa kuwa ni pamoja na bajaji mbili kuchomwa moto, kuvunjwa kwa vioo vya madirisha baada ya kupondwa mawe, pamoja na kubomoa madirisha mawili ya nyumba.

katika hatua nyingine Kamanda huyo amewasisitiza wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi, kuzingatia muda wa kufanya kampeni ili kuepusha vurugu zinazotokea baada ya muda uliowekwa na Tume kuisha.
 
Hebu fikirisha ubongo wako we zumbukuku
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
 
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?

Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
unatumia nini kufikiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…