Ccm mpya is a certified gang criminal like others terrorist group,wanahitaji Nyerere afufuke awape ushauri hichi si kizazi cha miaka ya 70 hiki ni dotcom kina global visionCcm na Al-shababy ni vikundi vya kigaidi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm mpya is a certified gang criminal like others terrorist group,wanahitaji Nyerere afufuke awape ushauri hichi si kizazi cha miaka ya 70 hiki ni dotcom kina global visionCcm na Al-shababy ni vikundi vya kigaidi!
why today you choose to be a mediocre?Ccm mpya is a certified gang criminal like others terrorist group,wanahitaji Nyerere afufuke awape ushauri hichi si kizazi cha miaka ya 70 hiki ni dotcom kina global vision
Kama ilivyo tunduma.2015 ccm waliua mtu wa chadema wanavuka barabarani tu baada ya kuua wakatokea wengine wakaua wa ccm. Mpaka kesho ccm wameacha UPUMBAVU wa namna hiiHuwezi kuishinda CCM kwa kukubari unyonge na kulialia kila siku.
Ukitaka kuheshimiwa na CCM ni jino kwa jino, hakuna namna nyingine hata Polisi wanaweza kuwaheshimu.
Aisee, wapuuzi sana hawa jamaaRoho inaniuma kushuhudia ujinga kama huu, alafu jeshi letu lipo busy kuwalinda wanachama wa CCM pekee. Kiukweli ndani yangu ninachuki kubwa dhidi ya askali wetu wasiwojielewa.View attachment 1598354
Kabisa, ni lazima damu imwagike kwanza ndipo tuheshimiane.Sasa umeongea upuzi gani? Hakuna mabadiliko bila sacrifice, Hata Mungu alimsacrifice Yesu
Niwajibu wake kuitetea serikali ya taifa lake kwa maadui wote wa nje na ndani ya nchi kama wewe.Mbona unaumia sana! Hiyo serikali ni baba yako kiasi cha kuumia kupitiliza inaposemwa? Ina haki gani sasa ya kuwatawala wananchi iwapo inafanya vitendo vya kibaguzi na kushindwa kuwalinda baadhi ya raia na mali zao?
Unafiki tu umekujaa.
Chadema mnapenda kukuza mambo sana eti nyumba imechomwa moto video yato hakuna sehemu nyumba imechomwa moto bali ni bajaji imeungua ni kama vile aliye unguza alikuwa yupo hapo hapo na maji ya kuzimia moto, moto wa kwenye chombo cha moto wa dakika mbili hiyo rangi ya blue kwenye bajaji isingekuwa inaonekana ebu acheni drama.Katika hali ya kusikitisha, kadri tunavyozidi kukaribia uchaguzi mkuu, kumekuwepo na vitendo vya kihuni vya kutumia nguvu kupiga, kuumiza na kunyanyasa wananchi.
Katika mazingira yanayoonyesha kuwa matendo hayo si bahati mbaya, kumekuwepo na mfululizo wa kuvamia na kuharibu mali za wagombea wa Chadema katuka kile kinachoonekana ni vitendo vilivyoratibiwa.
Inavyoonekana, Wanufaika wa vitendo hivyo wameshaona kuwa hawakubaliki, wananchi wamewakataa, kwa hiyo waneamua kuleta fujo na vurugu ili kuwatisha wananchi wahofu kutumia haki yao ya kidemokrasia kujitokeza kwa wingi kupiga kura ya kuwakataa.
Pia vinalenga kuwaogopesha wagmbea wa upinzani, kuwatoa kwenye reli ili wasiconcentrate na kampeni bali wabaki na hofu ya maisha yao.
Siku za karibuni tumeona polisi wakijiingiza katika matendo ya kuonea na kusumbua wapinzani bila kosa lolote, hayo tumeyaoba huko Arusha, Tarime kwa Heche walipovamia ofisi na kuharibu vitu vya ofisi, Shinyanga walipojaribu kumbambikizia mbunge kosa la kuchana bango la Magufuli.
Huko Chato leo watu wasiojulikana wamevamia nyumba ya mgombea mbunge na kuichoma moto. Humo ndani kulikuwa na watoto, almanusra waungue wakiwa ndani.
Ninachotaka kuwaambia wahuni hawa ni kuwa, Hakuna fujo itakayorudisha nyuma maamuzi ya wananchi. Wananchi wameshawakataa, hawana tena kibali wala ridhaa ya kutawala, wanachoweza sasa ni kuchakachua tu lakini si kwa ridhaa ya wananchi.
Hii nchi imewahi kufanya chaguzi za vyama vingi lakini hatukuwahi kushuhudia kiwango cha utesi na ukatili tunaoushuhudia kwenye awamu hii ya tano. Ipo hsja kwa wananchi kuzuia ukatili wa kiwango hiki kabla hajujakomaa na hatimaye kutuletea shida huko mbeleni.
Hapa chini ni video ya nyumba ya mgombea ubunge wa Chadema huko Chato imepigwa kibiriti
Raia wengi wanawapuuza kwa drama Zenu sio wajinga tena.Hivi mnafikiri kuna wajinga wa kuwadanganya tena humu ?
Serikali ni magufuli serikali ni Majaliwa serikali ni mawaziri ambao wote ni wanaccm waliojua raha ya kula pesa za umma .Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Acha upofu wa akili . Tundu Lisu hajavamia.Hili haliwezi kwenda sawa, maana kwa kweli hapo ni pagumu, ila najua akili ya Tundu Lissu na hisia zake, keshafika mahali ajali tena kabisa, yupo tayari kwa lolote!
Acha upofu wa akili . Tundu Lisu hajavamia.
Mmeanza tena kama mlivyokuwa mkichoma ofisi zenuSalaam Wakuu,
Inadaiwa kuna mambo hayaendi Vizuri huko Chato Mkoani Geita. Tunaomba Jeshi la Polisi lihakikishe amani kwa Wakazi wa Chato wa vyama vyote.
Hapa chini ni Taarifa kutoka Viongozi wa CHADEMA nliyotumiwa Usiku wa leo.
"Tumevamiwa na kuchomwa Moto kwa Mgombea Ubunge Maalum Massai Chato. Nyumba yachomwa Moto [emoji91], Bajaji zachomwa Moto Katika Wilaya ya Chato.
Walio tuvamia Wana sema eti tumemleta Tundu Lissu Chato. CCM wameandaa magaiti Wana piga watu Usiku huu.
Usiku huu wa Saa 12:25 Ndo tumevamiwa ni hatari, watoto wetu wamenusulika kwa mgombea Ubunge Wilaya ya Chato leo hii Ucku Huu
Mimi Kamanda Husna Amri Said"
Ninalaani watu wote wanaopanga kuharibu amani ya Nchi kisa Siasa.
Mia
View attachment 1598339View attachment 1598340
Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa
Kwani kura zinaombwa kwa serikali? Nyie akili zenu mkebakiza za kuvukia barabara tu!
unatumia nini kufikiri?Ni kwa nini kila tukio mchukulie ni serikali? Wanaofanyiwa ni malaika hawanaga maadui?vyama hivyo hivyo walipo hawana uadui?
Serikali ihangaike na mtu mdogo wa kazi gani? Watu wengi mmejaa UPUMBAVU mwingi sana juu ya haya mambo ya siasa