Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

... Unlike other natural disasters whose occurrance can be predicted with high precision, earthquakes can't be. Earthquake parameters can only be available aftermath and not otherwise!
Tutazama siku moja walahi..
 
naona wenzetu washaliona....
 
Kanda ya ziwa imeanza kupendelewa tena!.
Na sisi huku Pwani tunalisubiri kwa hamu.
 
Nachojiuliza kwanini miaka ya hivi karibuni limekuwa likipimata Sana Kuna shida gani..? Waseme haraka tusije tumbukia ardhini!
Shida sababishi ni uzinzi kuongezeka, acheni uzinzi mtapona.
 
Halijafanikiwa kupita na chato likatikisa na yale maeneo alikolazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…