Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

Shida sababishi ni uzinzi kuongezeka, acheni uzinzi mtapona.
Hii inanikumbusha mbali sana. Miaka ya 2000 mwanzoni kuna Tsunami ilitokea Thailand nafikiri mwaikumbuka. Kuna maneno kuwa waziri wa mambo ya nje wa Iran (washika Dini) alitoa pole kwa mwenzie wa Thailand lkn pia alimuhasa waache mambo maovu hasa beach tourism ambapo inasemekana wazee wanatongoza vitoto. Baada ya miaka / miezi kadhaa likatokea Tetemeko Iran na kuua watu kadhaa na wengine kujeruhiwa. Mwenzie naye akampa pole lkn akaomba aambiwe ni ubaya gani wamefanya ili nao - Thailand wasifanye na kupewa adhabu kama kilichowakuta Iran. Hivyo bwana Kambi ya Fisi uwe na akiba ya maneno​
 
Mnaposema limepita - linakua linaenda wapi

Tetemeko huanzia kwenye point moja (epicentre), na mawimbi yake husambaa/husafiri kuelekea uelekeo wote in 360° hadi nguvu ya mawimbi itapoishia...

It's more of energy transfer, kama vile ukipasha chuma upande mmoja na baada ya muda upande mwingine ulio mbali utaanza nao kupata joto...
 
Hii inanikumbusha mbali sana. Miaka ya 2000 mwanzoni kuna Tsunami ilitokea Thailand nafikiri mwaikumbuka. Kuna maneno kuwa waziri wa mambo ya nje wa Iran (washika Dini) alitoa pole kwa mwenzie wa Thailand lkn pia alimuhasa waache mambo maovu hasa beach tourism ambapo inasemekana wazee wanatongoza vitoto. Baada ya miaka / miezi kadhaa likatokea Tetemeko Iran na kuua watu kadhaa na wengine kujeruhiwa. Mwenzie naye akampa pole lkn akaomba aambiwe ni ubaya gani wamefanya ili nao - Thailand wasifanye na kupewa adhabu kama kilichowakuta Iran. Hivyo bwana Kambi ya Fisi uwe na akiba ya maneno​
Anayeagiza tuache uzinzi ni Mungu mwenyewe bwashee, kambi ya Fisi ni mjumbe tu aliyefikisha ujumbe kwamba msipoacha uzinzi mtapigwa na matetemeko
 
IMG_20210831_084425.jpg
 
Back
Top Bottom