Pre GE2025 Geita: Viongozi wa dini Chato wachangisha Tsh. Mil 1.4 kwaajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombe Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aisee mwaka huu nyumbu wamekwama haki ya nani, Kila wakijitahidi kuhangaika kujaribu kushindana nae ndo kwanza wanakuota jina la Samia linazidi kupaa tu mawinguni huko. Poleni sana nyumbu kwa habari hii mbaya itakayowakosesha usingizi siku kadhaa. Tafadhali msimtukane mleta mada, ye ametoa tu taarifa.
 
Reactions: Tui
Bado wale waganga waje watoe mkwara wao. Maana huo mkoa hauishi vituko
 
Samahani nimeona kibarakashee tu. Naomba kama kina wakatoliki nao walikua miongoni mwao kwenye hao viongozi wa dini basi nijuzwe kwa haraka. Kuna jambo ntaka kufanya hapa...
 
Wajinga ndio waliwao! Waendelee kuukuza umaskini wao!
 
Hizi fomu zipo ngapi maana Kila siku nakutana na Uzi watu wamechanga


Afu ccm si walishapitisha wagombea? Au mimi Kuna kitu sielewi hapa
Wajinga ndio waliwao, wakiziwakilisha huwa wanazawadiwa hizo hela. Utapeli tuu unaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…