Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg.
Katika mchango hao ambao wananchi pia walishiriki umefanikisha kupatikana kiasi cha Tsh. milioni 1.4 kwa ajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Ikumbukwe kuwa hivi karibuni serikali ya Tanzania ilithibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Murburg wilayani Biharamulo mkoani Kagera ambapo ni jirani na Chato Na mgonjwa mmoja kuthibitika kufa.

Katika maombi yao wamefunuliwa na roho kuwa suluhisho la na tiba ya ugonjwa wa murburg (sina hakika kama ndivyo inavyoandikwa) ni kuhakikisha kuwa mothee anaendelea kuongoza nchi. Ila huyo roho akasahau kuwakumbusha kuwa mothee keshapitishwa kuwa mgombea tayari