Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

Nimefanya kazi Geita kwa mda mrefu sana na wakati wa mvua ulikuwa wakati mgumu kabisa kwangu zile sio radi ni nyuklia ni mabomu
Mkuu ni hatari kabisa.

Yani radi za kanda ya ziwa zikipiga hadi ule mstari wa
zig-zag⚡⚡unaona kabisa ukijichora chora hewani.

Afu mwanga mkali kama kimulimuli. Afu inafata ngurumo moja kubwa.

Ukisikia ngurumo tu, unajua umepona.

Maana ule mwanga ukiwaka lazima upate wenge.
 
Serikali ianze kuweka vizuia radi kwwnye majengo yote ya public kama shule, hospital nk
 
Thamani ya kiumbe mweusi anayefanana na binadamu ni ndogo mno. Mamia wanakufa na kuawa baharini wakijaribu kukimbia ardhi yao. Ila viongozi wao wapo zao kimya utadhani wanauawa ni dagaa.

Ajali za barabarani kila siku zinamaliza watu, ila hakuna jitihada za maksudi za kumaliza changamoto hiyo.

Radi Leo imechukua maisha ya watoto 8 na uenda zaidi, ila wataishia kutoa pole tu.

Ila sishangai
View attachment 3215791
hili la ajali barabarani ni umasikini wa nchi kushindwa kujenga barabara nzuri, njia mbili. Unaendesha gari mwenzio anakuja mbele akiyumba tu mnagongana uso kwa uso. Hizi barabara kuu zote zinatakiwa kujengwa njia mbili. Unatoka dara mpaka mwanza, arusha, mbeya, tabora iwe ni njia mbili. Barabara za ndani ya miji nazo ziwe na mabega. Ujenzi wa barabara ni mbaya unasapoti ajali
 
Mkoa wa geita una mambo ya ajabu sana, hauachi kuvuma kwa vifo vya ajabuajabu. Ni mkoa ambao una mambo ya kijima sana, mambo ya kienyeji enyeji ni mengi sana
Rais wa nchi akitoka huko basi tutegemee mambo ya ajabu ajabu tu.
 
Geita ndio eneo linaloongoza kwa ukatili na ushirikina barani Africa na Duniani
Radi sio ushirikina.
Na tukielendelea kuweka dhani ya ushirikika tutaendelea kupoteza mifugo mingi na ndugu zetu wengi wanao ishi maeneo yenye changamoto hiyo.

Yako maeneo Kwa Tz yanakubwa na dhoruba za radi sana ambayo ni Geita na Rukwa.

Ni muda wa serikali kuweka vifaa maalumu vya kutoa hizi changamoto za radi kwa hayo maeneo.
 
Back
Top Bottom