GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

Ilitakiwa washambuliwe wangapi kwenye mnada ili wewe ndio uone sawa? We jamaa kumbe una kichwa kigumu kiasi hicho!

Wenye watoto wao wameshatoa maelezo tayari ila wewe bado umekomaa tu!!
Jibu swali wewe ndo kichwa kigumu. Watu800 hawawezi kuwa wagumu wote hata kama Mimi ni mgumu
 
Jibu swali wewe ndo kichwa kigumu. Watu800 hawawezi kuwa wagumu wote hata kama Mimi ni mgumu
Hujui kua watu hua wana upumbavu wa kufuata mkumbo jambo? Kwahiyo idadi ya wajinga kua kubwa ndio inakuhalalaishia jambo? Wahusika wamekubali kua ni watoto wao,au una ajenda gani na hiyo vurugu ya kijinga? Hiyo vurugu inakupa faraja gani kwako? Unafurahia idadi ya wapumbavu inapokua kubwa?

Swali gani la maana ulilouliza hapa zaidi ya kila mtu anakushangaa tu ulivyokomaa pamoja na maelezo kutolewa polisi?

Nafikiri vyombo vya ulinzi vinatakiwa kuanza na wewe ili uhojiwe utoe maelezo yaliyonyooka.
 
Mwanafunzi aliyeuwawa alikua ndani ya nyumba kalala kwa hofu. Yule kijana wa kiume aliyeuwawa alikua "mchoma nyimbo kwenye kompyuta". Unajua maisha ya usukumani, jana ilikua siku ya mnada hapa Lulembela. Binafsi, nimepoteza ng'ombe wangu. Baa zilifungwa, mnada ulivurugwa. Nasikia hata std 7 walifanya mtihani wao wa mchana, usiku. Hali siyo nzuri mtaani. Taharuki za utekaji zimezagaa sana mitaa hii ya lake zone. Nimechoka kutype.
 
Taarifa za kutengenezwa na polisi. Uharamia ni mwingi.
 
Taarifa za kutengenezwa na polisi. Uharamia ni mwingi.
Kwahiyo tuamia taarifa zipi?

Hapa JF tunajadili kwa mujibu wa mada na data ilizokuja nazo,

Hizo taarifa zako ambazo hazijatengenezwa ziko wapi? Na zenyewe tutaziaminije kua hazijatengenezwa somewhere else?
 
Kwahiyo tuamia taarifa zipi?

Hapa JF tunajadili kwa mujibu wa mada na data ilizokuja nazo,

Hizo taarifa zako ambazo hazijatengenezwa ziko wapi? Na zenyewe tutaziaminije kua hazijatengenezwa somewhere el

Kwahiyo tuamia taarifa zipi?

Hapa JF tunajadili kwa mujibu wa mada na data ilizokuja nazo,

Hizo taarifa zako ambazo hazijatengenezwa ziko wapi? Na zenyewe tutaziaminije kua hazijatengenezwa somewhere else?
Sawa Poti.
 
MAANA YAKE UMMA UNAHISI JESHI LA POLISI LIMEPIGWA GANZI, Linasubiri kupata maagizo ya kuishughurikia CDM viongozi wake wapande cheo
 
MAANA YAKE UMMA UNAHISI JESHI LA POLISI LIMEPIGWA GANZI, Linasubiri kupata maagizo ya kuishughurikia CDM viongozi wake wapande cheo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…