MAKONGOLOSII
JF-Expert Member
- Jul 31, 2024
- 413
- 640
Ongera Police kuwaokoa Watu wasio kua na hatia. 👏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawa mkuu hapa Sina mhemuko wowote ila taarifa Ina maswali mengi zaidiKwahiyo hao watu 800 ndio wanawajua zaidi hao watoto kuliko wazazi wao ambao wamethibitisha kua hao watoto ni wao? punguza mihemko mkuu,just use a simple logic to understand it,
Wrong is wrong even if everyone is doing,and right is right even no one is doing it.
Tulia wewe hii inawahusu wanajielwa tu. Unapo pambania haki Yako haijarishi utapitia kadhia Gani kikubwa kieleweke hata wanajeshi wetu walikufa kwenye vita ya Uganda.Acheni kulishana ujinga mtaendela kuliwa kama kuku.
Si ni juzi tu apa aliuliwa raia ktk mazingira kama ayo ya kituo cha polisi!
Ni hatua gani raia mlichukua baada ya polisi kukatisha maisha ya hao raia ?
Si kila mmoja yupo kwake ameufyata mkia kmya huku mkiaziacha familia za wafiwa na majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao ?
Ni afadhali mgekinukisha basi kuwa hatua zichukuliwe kwa hao askar
ila ivo mnavyofanya vurugu mkiuliwa wawili watatu mnaishia kuufyata mkia sio poa.
Sahihi kabisa Tena ndo wengiWengine wamejiunga tu bila hata kujua kunanini
Kwanini uamini kua mnada mzima wanaume 2 pekee walikua na watoto?Tunaamini mnada mzima ni wanaume 2 pekee ndo walikuwa na Watoto?
Hao wasukuma wamezidi yaani Imekua TOO MUCH yaan EMOTIONAL mpaka Reasoning imeondoka...Kwani daslam ilikuwaaje hiv karibuni?
Mbona shule walikuwa wakiona noa au cruiser wazazi wanajaa na kufuata Watoto wao?
Hofu au wasiwasi ndo akiri
Kumshuku mtu sio mbaya, kuwahoji sio mbaya, hata kufatilia muendelezo watuhumia na kesi imefikia wap sio mbaya pia. Tatizo linaanza, kwanini walitaka kuwadhuru watuhumia na jeshi la police ?.Damu za watu zipi wakati upumbavu wao umepelekea vijana kufa! Yani Mimi nibebe mtoto wangu unisuspect na utake kuniua, kwanini usinihoji kwanza!? Haya wamevamia kituo na watu wamekufa what's next?
Kwaiyo unataka tukuamini kisa iyo chat uliyo iscreenshot hapo ?Mjinga pro max niwewe.
Kuna manipulation ya wanakijiji lazima Kuna kitu behind the scenes ambacho kiliwasukuma wanakijiji kuvamia kituo Cha POLISIKumshuku mtu sio mbaya, kuwahoji sio mbaya, hata kufatilia muendelezo watuhumia na kesi imefikia wap sio mbaya pia. Tatizo linaanza, kwanini walitaka kuwadhuru watuhumia na jeshi la police ?.
Wewe fala tu nadhani unakula sana samadi ya ng'ombe.Ukombozi wa Nchi hii utatoka Kanda ya Ziwa. Hizi ni salaam kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hawataogopa Cha police Wala mabomu
Hilo ni juu Yako Sina mbingu ya kukupeleka hata ukiniamini au lahKwaiyo unataka tukuamini kisa iyo chat uliyo iscreenshot hapo ?
Uongooooo propaganda za ccm ili kuwaogopesha wananchi uongoooooooooo😂😂😂😂 janja ya nyani kwisha jua mimiVijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi waliokuwa katika mnada huo kuwahisi kuwa ni wezi wa watoto na kuanza kuwashambuilia, ndipo akatokea Mtendaji wa Kata akawabeba kwenye pikipiki na kuwakimbiza katika kituo cha Polisi Lulembela.
Ambapo baada ya watu hao kufikishwa katika kituo cha polisi, wananchi hao walifika katika kituo hicho na kuwataka askari polisi wawakabidhi watuhumiwa hao ili wawaue na Askari walijaribu kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa na si vizuri kujichukulia sheria mkononi lakini walikaidi na baada ya askari kuona hali hiyo ya kuhatarisha maisha ya watu na mali za serikali walitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya watu hao na iliposhindikana walitumia silaha za moto kwa kupiga risasi juu ili watu hao watawanyike
"Mbali na kushambulia kituo hicho kwa mawe na kutaka kuingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho, wananchi hao walichoma moto gari moja lenye namba za usajili T.440 ATW aina ya Toyota Cardina lililokuwa limeegeshwa nje ya kituo hicho na katika vurugu hizo watu wawili wamepoteza maisha, mmoja ni mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 20 na wa pili ni msichana aitwaye Teresia John mwenye umri wa miaka 18, mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela ambaye nyumba yao inatazamana na kituo hicho cha Polisi," imeeleza taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini
Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa, "Hata hivyo, ilibainika kuwa watu waliokuwa wamebeba watoto hao ni Emanuel John (33) mkazi wa Kigamboni Lulembela ambaye alikuwa amembeba mtoto wake aitwaye Ikram Emanuel mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi na moja na wa pili anaitwa Ng'amba Leonard (24) ambaye alikuwa amembeba mtoto aitwaye John Emanuel mwenye umri wa miaka miwili na miezi nane, Mama wa watoto hao aitwaye Rachel Luhende (22) amethibitisha kuwa watoto hao ni wakwake na walikuwa kwa wifi yake ambapo baba yao mzazi na mjomba wao walikwenda kuwachukua,".
#EastAfricaRadio
View attachment 3093573
Hao wasukuma wamezidi yaani Imekua TOO MUCH yaan EMOTIONAL mpaka Reasoning imeondoka.
Kwanini washambuliwe wao wawili tu kwenye mnada mzima?Kwanini uamini kua mnada mzima wanaume 2 pekee walikua na watoto?
Kwani ilitakiwa wanaume wangapi wawe na watoto hapo mnadani ili wewe uone kua ni sawa? Siku hizi wanaume kubeba watoto ni kosa?
Wenye watoto wao wameshathibitisha kua hao watoto ni wao,sasa wewe kwanini unaendeleza huo wasiwasi wako wa kuamini?
Nimeandika kulingana na ukomo wa akili yako.Akili Yako imefikia kikimo hapo au badae itaji update upya
Maswali wapi wewe, au hujawahi kuona mambo ya namna hiyo mitaani??Kamwe huwezi pigwa tu kisa una mtoto. Hapo Kuna maswali sana
Sasa walichokifanya hao wananchi kama si ujinga ni nini?Ukombozi wa Nchi hii utatoka Kanda ya Ziwa. Hizi ni salaam kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hawataogopa Cha police Wala mabomu
Ilitakiwa washambuliwe wangapi kwenye mnada ili wewe ndio uone sawa? We jamaa kumbe una kichwa kigumu kiasi hicho!Kwanini washambuliwe wao wawili tu kwenye mnada mzima?
Yaani hujajibu swali langu hata Moja hayo maswayndo unatakiwa ujiulize wewe