GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

Ukombozi wa Nchi hii utatoka Kanda ya Ziwa. Hizi ni salaam kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hawataogopa Cha police Wala mabomu
Unawasahau ngorongoro..? Wanaume na watu wa hovyo n watu wa dar sema wakiamua watu wa dar itakua balaa zito. Ila tusiombee mambo ya kuuana haya yakemewe na yapatiwe mwarobaini.
 
Ningefirahi kusikia polisi wamepokea kichapo Toka kwa wananchi
Kwa utawala huu usio na Baraka za Mungu ipo siku zaja polisi watakimbia vituo na bunduki zao
 
Wananchi wameanza kukosa imani na polisi hii ni hatari. Kuelekea Uchaguzi hali inaweza kuwa mbaya mno. Ujasiri wa wananchi dhidi ys vyombo vya dola hasa polisi unaongezeka siku hadi siku.
 
 

Attachments

  • VID-20240911-WA0057.mp4
    7.2 MB
Wananchi wameanza kukosa imani na polisi hii ni hatari. Kuelekea Uchaguzi hali inaweza kuwa mbaya mno. Ujasiri wa wananchi dhidi ys vyombo vya dola hasa polisi unaongezeka siku hadi siku.
Hii nzuri sana mkuu zamani police alikuwa akipita tu unaweza Anza kimbia kabisa lkn Kwa Sasa ni tofauti mno
 
Nilisemaga mimi HUU USENGE WA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI haufai.
Ona sasa mmevamia watu wasiokua na hatia.
Na je wangeuawa kweli ingekuaje!
?
Safi sana askari walivyowashikisha adabu hao watu.
 
Ukute hao waliouwawa hawakuwa na hatia yoyote ni kama yale ya Akwelina 💔
 
Mimi ndo nimesoma na kuleta hata jukwaani. Na nimeelewa huenda wewe ndo hujaielewa.

Watu 800 hawezi singizia watu2
Taarifa ya Polisi inaonyesha hao ni wazazi, je ni kweli au si kweli?
Kuhusu watu wangapi katika matukio hayo wengi huwa wanaenda na upepo tu pasipo kuujua ukweli.
Wanaweza wakaanzisha wawili lakini mamia wakafuata mkumbo. Kwani wezi anavyopigwa mitaani watu wote huwa wanajua hata kilichoibwa au aliyeibiwa? Si hufuata tu zile kelele za tuhuma
 
RPC wa Geita,ajitafakari sana.
Hiyo nafasi aliyopewa imepwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…