Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Wapumbavu wanafata mkumbo tuKwann? Una uhakika Gani watu 800 wote waseme uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu wanafata mkumbo tuKwann? Una uhakika Gani watu 800 wote waseme uongo?
Matukio yapi? Mana kwenye mada hayapo.Wewe ndio hurlrwi na ni mpumbavu zaidi.
Hapa point sio tukio la leo bali matukio yaliyotangulia ndio yamepelekea tukio la leo na ndio msingi wa majadiliano haya.
Endelea kulala brazaMatukio yapi? Mana kwenye mada hayapo.
Mimi naamini Raia wewe nawe amini police hukatazwiTaarifa ya Polisi inaonyesha hao ni wazazi, je ni kweli au si kweli?
Kuhusu watu wangapi katika matukio hayo wengi huwa wanaenda na upepo tu pasipo kuujua ukweli.
Wanaweza wakaanzisha wawili lakini mamia wakafuata mkumbo. Kwani wezi anavyopigwa mitaani watu wote huwa wanajua hata kilichoibwa au aliyeibiwa? Si hufuata tu zile kelele za tuhuma
SijuiKwahiyo askari wametoa ripoti ya uongo!??
Vipi mama mzazi aliyekiri nae anaongopa!??
Polisi hawana weredi na kazi yao. Their souls RIP.Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi waliokuwa katika mnada huo kuwahisi kuwa ni wezi wa watoto na kuanza kuwashambuilia, ndipo akatokea Mtendaji wa Kata akawabeba kwenye pikipiki na kuwakimbiza katika kituo cha Polisi Lulembela.
Ambapo baada ya watu hao kufikishwa katika kituo cha polisi, wananchi hao walifika katika kituo hicho na kuwataka askari polisi wawakabidhi watuhumiwa hao ili wawaue na Askari walijaribu kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa na si vizuri kujichukulia sheria mkononi lakini walikaidi na baada ya askari kuona hali hiyo ya kuhatarisha maisha ya watu na mali za serikali walitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya watu hao na iliposhindikana walitumia silaha za moto kwa kupiga risasi juu ili watu hao watawanyike
"Mbali na kushambulia kituo hicho kwa mawe na kutaka kuingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho, wananchi hao walichoma moto gari moja lenye namba za usajili T.440 ATW aina ya Toyota Cardina lililokuwa limeegeshwa nje ya kituo hicho na katika vurugu hizo watu wawili wamepoteza maisha, mmoja ni mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 20 na wa pili ni msichana aitwaye Teresia John mwenye umri wa miaka 18, mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela ambaye nyumba yao inatazamana na kituo hicho cha Polisi," imeeleza taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini
Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa, "Hata hivyo, ilibainika kuwa watu waliokuwa wamebeba watoto hao ni Emanuel John (33) mkazi wa Kigamboni Lulembela ambaye alikuwa amembeba mtoto wake aitwaye Ikram Emanuel mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi na moja na wa pili anaitwa Ng'amba Leonard (24) ambaye alikuwa amembeba mtoto aitwaye John Emanuel mwenye umri wa miaka miwili na miezi nane, Mama wa watoto hao aitwaye Rachel Luhende (22) amethibitisha kuwa watoto hao ni wakwake na walikuwa kwa wifi yake ambapo baba yao mzazi na mjomba wao walikwenda kuwachukua,".
#EastAfricaRadio
Tutafika tuPolisi hawana weredi na kazi yao. Their souls RIP.
Huenda Kuna matukio mengine huko nyuma yaliyo sababisha ghasia hiiWapumbavu wanafata mkumbo tu
Sio kweli.Watu 800 hawawezi kukosea
Ndo uhalisia huyo binti alieuwawa nyumba yao ipo karibu na kituo kwahiyo probably alikua kwenye perimeter ya nyumba yao au alisogea kituoni kuona kuna nini.Ukute hao waliouwawa hawakuwa na hatia yoyote ni kama yale ya Akwelina 💔
kucheleKokorikooooo ..!
huna akili polisi huwa hakili mtu kuwa na kosa ama hapanaAcha ujinga,Unategemea Serikali ikili kuwa walikuwa wanaiba Watoto huku upepo ulivyo sasa nchi nzima inawalaumu Polisi hawafanyi kazi watoto wanaibiwa.
Polish na Serikali hapo wanafunika kombe mwanaharamu apite
Ukiwemo wwwatanzania asilimia kubwa ni wajinga.