Kwahiyo askari wametoa ripoti ya uongo!??Kwann? Una uhakika Gani watu 800 wote waseme uongo?
Vipi mama mzazi aliyekiri nae anaongopa!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo askari wametoa ripoti ya uongo!??Kwann? Una uhakika Gani watu 800 wote waseme uongo?
Tunahotaji ukomboz ili huu ni ujuha naomba njombe wasijekulipa hiiUkombozi wa Nchi hii utatoka Kanda ya Ziwa. Hizi ni salaam kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hawataogopa Cha police Wala mabomu
kosa la polisi hapo liko wapiHuko police haaminiwi Tena mmebaki ninyi tu daslam na viunga vyenyu
Una uhakika hao watu 800 wote waliwahoji watuhumiwa? Mnaposikia kelele za mwizi na kwenda kumpiga huwa mnajua kilichoibwa au aliyeibiwa?Watu 800 hawawezi kukosea
Wananchi waanze kupambana pia na wasiojulikana.Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi waliokuwa katika mnada huo kuwahisi kuwa ni wezi wa watoto na kuanza kuwashambuilia, ndipo akatokea Mtendaji wa Kata akawabeba kwenye pikipiki na kuwakimbiza katika kituo cha Polisi Lulembela.
Ambapo baada ya watu hao kufikishwa katika kituo cha polisi, wananchi hao walifika katika kituo hicho na kuwataka askari polisi wawakabidhi watuhumiwa hao ili wawaue na Askari walijaribu kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa na si vizuri kujichukulia sheria mkononi lakini walikaidi na baada ya askari kuona hali hiyo ya kuhatarisha maisha ya watu na mali za serikali walitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya watu hao na iliposhindikana walitumia silaha za moto kwa kupiga risasi juu ili watu hao watawanyike
"Mbali na kushambulia kituo hicho kwa mawe na kutaka kuingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho, wananchi hao walichoma moto gari moja lenye namba za usajili T.440 ATW aina ya Toyota Cardina lililokuwa limeegeshwa nje ya kituo hicho na katika vurugu hizo watu wawili wamepoteza maisha, mmoja ni mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 20 na wa pili ni msichana aitwaye Teresia John mwenye umri wa miaka 18, mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela ambaye nyumba yao inatazamana na kituo hicho cha Polisi," imeeleza taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini
Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa, "Hata hivyo, ilibainika kuwa watu waliokuwa wamebeba watoto hao ni Emanuel John (33) mkazi wa Kigamboni Lulembela ambaye alikuwa amembeba mtoto wake aitwaye Ikram Emanuel mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi na moja na wa pili anaitwa Ng'amba Leonard (24) ambaye alikuwa amembeba mtoto aitwaye John Emanuel mwenye umri wa miaka miwili na miezi nane, Mama wa watoto hao aitwaye Rachel Luhende (22) amethibitisha kuwa watoto hao ni wakwake na walikuwa kwa wifi yake ambapo baba yao mzazi na mjomba wao walikwenda kuwachukua,".
#EastAfricaRadio
Hio idadi inatia shaka sana mno ili makamanda waonekane walikua overwhelmed wakatumia sub machine gun kutatua changamotoNa ww unaamini hy idadi ya watu 800 kwenda kituo cha polisi na kufanya vurugu?
Umenikumbusha Temeke Sandali aliwahi uliwa mtu akidhaniwa mwizi na hakuwa mwizi.Taarifa ya Polisi inaonyesha hao ni wazazi, je ni kweli au si kweli?
Kuhusu watu wangapi katika matukio hayo wengi huwa wanaenda na upepo tu pasipo kuujua ukweli.
Wanaweza wakaanzisha wawili lakini mamia wakafuata mkumbo. Kwani wezi anavyopigwa mitaani watu wote huwa wanajua hata kilichoibwa au aliyeibiwa? Si hufuata tu zile kelele za tuhuma
Wao polisi hawachukui sheria mkononi?Askari walijaribu kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa na si vizuri kujichukulia sheria mkononi lakini walikaidi na baada ya askari kuona hali hiyo ya kuhatarisha maisha ya watu na mali za serikali walitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya watu hao
Wananchi wakiona umebeba mtoto basi jiandae vitambulisho na ueleweke.Kwa sasa self defense ni muhimu sana
Huo ukanda wagombea wa ccm ni wachawi na waganga bila kafara uchaguzi 2025 hawatoboi.Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi waliokuwa katika mnada huo kuwahisi kuwa ni wezi wa watoto na kuanza kuwashambuilia, ndipo akatokea Mtendaji wa Kata akawabeba kwenye pikipiki na kuwakimbiza katika kituo cha Polisi Lulembela.
Ambapo baada ya watu hao kufikishwa katika kituo cha polisi, wananchi hao walifika katika kituo hicho na kuwataka askari polisi wawakabidhi watuhumiwa hao ili wawaue na Askari walijaribu kuwaelimisha na kuwaeleza ni kosa na si vizuri kujichukulia sheria mkononi lakini walikaidi na baada ya askari kuona hali hiyo ya kuhatarisha maisha ya watu na mali za serikali walitumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya watu hao na iliposhindikana walitumia silaha za moto kwa kupiga risasi juu ili watu hao watawanyike
"Mbali na kushambulia kituo hicho kwa mawe na kutaka kuingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho, wananchi hao walichoma moto gari moja lenye namba za usajili T.440 ATW aina ya Toyota Cardina lililokuwa limeegeshwa nje ya kituo hicho na katika vurugu hizo watu wawili wamepoteza maisha, mmoja ni mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 20 na wa pili ni msichana aitwaye Teresia John mwenye umri wa miaka 18, mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela ambaye nyumba yao inatazamana na kituo hicho cha Polisi," imeeleza taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini
Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa, "Hata hivyo, ilibainika kuwa watu waliokuwa wamebeba watoto hao ni Emanuel John (33) mkazi wa Kigamboni Lulembela ambaye alikuwa amembeba mtoto wake aitwaye Ikram Emanuel mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi na moja na wa pili anaitwa Ng'amba Leonard (24) ambaye alikuwa amembeba mtoto aitwaye John Emanuel mwenye umri wa miaka miwili na miezi nane, Mama wa watoto hao aitwaye Rachel Luhende (22) amethibitisha kuwa watoto hao ni wakwake na walikuwa kwa wifi yake ambapo baba yao mzazi na mjomba wao walikwenda kuwachukua,".
#EastAfricaRadio
Yn hapo sidhan ht kama walifika 200Hio idadi inatia shaka sana mno ili makamanda waonekane walikua overwhelmed wakatumia sub machine gun kutatua changamoto
Wewe ndio hurlrwi na ni mpumbavu zaidi.Tanzania wapumbavu tuko wengi, kuna watu wana walaumu polisi sasa unajiuliza kosa la polisi ni lipi hapo
kuwahifadhi watuhumiwa ambao wametuhumiwa kwa hisia tu
Uko sawa lkn jeshi letu lilipifikia Hadi Sasa kuaminika vigumu mno hata alikuambia Sasa Hivi ni saa7 usiku Toka Nje kwanza ukashuhudie ndivho kinachofanyika Sasa Hivi ha waaminiki.Taarifa ya Polisi inaonyesha hao ni wazazi, je ni kweli au si kweli?