Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

Mwaka 2013 haya mambo yalikuwa yakifanyika pia wilayani Bunda,Mara hasa maeneo ya Kibara,Busambara na Kasahunga (anakotoka mchezaji wa NBCL Sixtus Sabilo). Binti wa ripota mmoja wa redio RFA naye alikutana na kadhia hiyo.

Halafu kuna watu wanadai uchawi haupo,basi huwa ninawachekiii.
 
Kwa hiyo na wewe ulibakwa?
 
Muhuni mmoja aitwae teleza alitomber sana wanawake Kule Arusha kimaajabu,alivyoanza kufiler wanaume ndipo wakashtuka wakachukua hatua.
Mkuu, TELEZA siyo mhuni mmoja, inasemekana ni taasisi iliyoasisiwa Ujiji Kigoma, huko kwingine kuna matawi yake tu.
 
Maelezo hayaja jitosheleza si angelipiga kelele kuashiria hali ya hatari ndani nwake? Lakini pia hajaeleza huyo mtu aliingiaje au hakufunga mlango? Habari haijakamilika hii msomaji unakua na maswali kibao.🚮🤕
 
Hebu waeleze vizuri. Kwamba anaingia na kutoka bila kufungua mlango?
Mi ngoja tu nisichangie huu uzi,maana nina maswali mengi ambayo najua tu yatakosa majibu...
 
Songea pia kuna shule fulani jamaa lilibaka wanafunzi,ila linaingia bila kupita mlangoni, walidai wanaona kama ndoto na wakiamka ni kweli
 
Mi ngoja tu nisichangie huu uzi,maana nina maswali mengi ambayo najua tu yatakosa majibu...
Kiukweli habari haijakamilika.
Wafunge milango vizuri tuone kama bado wanabakwa bila milango kuvunjwa
 
Hahah nimecheka sana mkuu,Kwamba Ni taasisi iliyofungua branches zake na mikoa mingine.
 
Akija kwangu aache na kodi ya meza la si hivyo atanikuta nmevaa skin jeans tatu na chupi ya chuma alaahh
 
huyo popobawa anauliza kabisa kama unawatoto ili asipate tabu kupambana na silidi
 
huyo popobawa anauliza kabisa kama unawatoto ili asipate tabu kupambana na silidi
 
Kuamini mtu anaweza bakwa kichawi au kuingiliwa na vitu kama Popobawa.
Sikushangai kwa kutokuamini kwako ila ipo siku yakitokea kwa mtu wa karibu au familia yako ndipo utaamini sawa thomaso
 
Hadi simu jamaa anakuwa nayo duuuh. Basi wasaidiwe inaonekana uchawi wao wa kawaida watakamatika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…