Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Sijui nicheke au nisikitike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna vitu kama hivyo. Kwahiyo na watoto waliopatikana kwa kubakwa kichawi wapo?Vitu hivyo vipo wala usibishe ndugu yangu
Mi nakusikitikia kwa kuamini habari za kitoto namna hiiSikushangai kwa kutokuamini kwako ila ipo siku yakitokea kwa mtu wa karibu au familia yako ndipo utaamini sawa thomaso
Kweli dunia ina maajabu yasikie tuHaya mambo nilikuwa siyaamini ila nilikuja kushuhudia visa fulani kijijini ndipo niliookiri kuwa kweli hii dunia ina mambo ya ajabu kweli
Hahahahaa unajikuta msomi🤣🤣, utapigwa tukio akili ikukae sawaKuamini mtu anaweza bakwa kichawi au kuingiliwa na vitu kama Popobawa.
Ni common sense. We umewahi bakwa kichawi?Hahahahaa unajikuta msomi🤣🤣, utapigwa tukio akili ikukae sawa
Samahani mkuu umewahi kuishi migodini?Ni common sense. We umewahi bakwa kichawi?