Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

Mkuu wa mkoa
Kamanda wa polisi
Kamanda wa polisi- usalama barabarani
Kamanda kikosi cha zimamoto
Afisa uhamiaji
Mshauri wa Mgambo
Katibu tawala
Mganga Mkuu wa mkoa
Afisa elimu wa mkoa

Ajira mpya mkoa mpya wa Chato...😅
 
Na Misenyi je ?
 
Tija yake ni nini?
 
Mwenye mkoa wake hayupo wao wanaridhia kama nani
 
Tena nae ajenge kabisa na uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake aje na hospital ya rufaa kabisa.
 
Chato ni mkoa ambao hautakuwa na mvuto kabisa.
Harafu wanataka kuipotezea radha kagera kwa kuitolea wilaya zake.
Hivi kwa nini wasikate mikoa mikubwa wanaenda kukata mkoa mdogo? Yaani hii nchi tumepigwa kabisa
Tulia mkuu,

Arusha ilimegwa ukatoka Mkoa wa Manyara, machimbo ya Tanzanite yakahamishwa toka Arusha kwenda Manyara.

Mkoa wa Mbeya ukamegwa ikapatikana Songwe.

Hayo ni mambo ya kawaida kabisa,

Kuna msemo unasema mwenzako akinyolewa nawe tia maji.
 
Nani kakudanganya kwamba Geita ni mkoa mdogo ? Unaijua idadi ya watu wa mkoa huu au unabwabwaja tu
 
Ngara iliwekeza Sana kwenye shule zilizopo bukoba zilipoletwa shule za Kata ikapigwa na sasa unaenda kupigwa ianze moja. Kwani niwemugizi yeye anasemaje
Si ndo mnachoendekeza watu wa huko! Saa hii mnaanza kudai shule zitakazobaki mkoa wa Kagera. Nyerere aliwaona!

Tulia mkuu,

Arusha ilimegwa ukatoka Mkoa wa Manyara, machimbo ya Tanzanite yakahamishwa toka Arusha kwenda Manyara.

Mkoa wa Mbeya ukamegwa ikapatikana Songwe.

Hayo ni mambo ya kawaida kabisa,

Kuna msemo unasema mwenzako akinyolewa nawe tia maji.
Ndo maana mwanza ikamegwa kua geita.
Tena geita imegwe tena?
 
Tulia mkuu,

Arusha ilimegwa ukatoka Mkoa wa Manyara, machimbo ya Tanzanite yakahamishwa toka Arusha kwenda Manyara.

Mkoa wa Mbeya ukamegwa ikapatikana Songwe.

Hayo ni mambo ya kawaida kabisa,

Kuna msemo unasema mwenzako akinyolewa nawe tia maji.
Hizo ulizotaja zilikuwa na sbabu za msingi kabisa. tofauti na geita, kigoma kumegwa ili kumfurahisha magufuli
 
Hiyo RCC, siamini kama kuna wenye akili inayofikia hata average human IQ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…