Boss ya Mbokah
New Member
- Jan 10, 2016
- 1
- 1
Inavyoelekea hapo jina Magufuli ndio halijakupendeza.Hizo ulizotaja zilikuwa na sbabu za msingi kabisa. tofauti na geita, kigoma kumegwa ili kumfurahisha magufuli
Napendekeza uitwe mkoa wa Rubondo makao makuu chatoJina la Mkoa?
Makao Makuu ya Mkoa?
Kugawa mkoa kuna vigezo vingi vya kiidadi ya watu, huduma za kiutawala, kiuchumi nkmkuu kuna ujinga mwingi sana hii nchi. Umaacha kuigawa Moro au Tabora halafu unaenda kuokoteza wilaya kwa sababu za utashi wa marehemu
Mkuu majimbo ya kanisa RC hayazingatii mipaka ya kiserikali.Ngara iliwekeza Sana kwenye shule zilizopo bukoba zilipoletwa shule za Kata ikapigwa na sasa unaenda kupigwa ianze moja. Kwani niwemugizi yeye anasemaje
Zanzibar Ni Nchi japo Ina watu kidogo chini ya 2m. Sembuse Chato yenye International Airport. Wacha Iwe Mkoa na Jina Liwe Magufuli.Kwa hiyo sifa ya mkoa ni kujengwa kwa misingi ama viashiria vya ukabila? Makabila mawili au zaidi hayawezi kuwa chini ya mkoa mmoja?
Sioni sababu za msingi za kuugawa mkoa wa Geita wenye idadi ya watu China ya idadi ya 1.8 mln! Huku ni kupoteza rasilimali!
Kuwa na mkoa wa chato ni sawa na MME was imani ya kikiristo kuwa na wake wawili akilazimisha wote afunge nao ndoa...Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki.
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum leo kwaajili ya Mapendekezo ya kuunda Mkoa Mpya wa Chato, Kimependekeza yafuatayo:
1. Mkoa Mama wa Geita ubakiwe na Wilaya tatu ambazo ni Wilaya ya Geita, Mbogwe na Wilaya ya Nyang'hwale.
2. Imependeleza iombwe Wilaya ya Sengerema ambayo ipo Mkoa wa Mwanza, ili iweze kukamilisha Wilaya nne za Geita pamoja na Wilaya Pendekezwa ya Busanda.
3. Mkoa wa Chato imependekezwa kwa iundwe na Wilaya za Geita ambazo ni Chato yenyewe, na Wilaya ya Bukombe.
4. Pia imependekezwa kutoka Kigoma, iombwe eneo kutoka Wilaya ya Kakonko, pia kutoka Kagera imependekezwa ziombwe Wilaya mbili ambazo ni Biharamulo na Wilaya ya Ngara.
Mapendekezo haya yamekamilika na yamekubaliwa na wajumbe wote wa RCC.
Sasa yatapelekwa kwenye Wizara husika ili yaweze kufanyiwa kazi.
Zaidi, soma; News Alert: - Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato
Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki.
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum leo kwaajili ya Mapendekezo ya kuunda Mkoa Mpya wa Chato, Kimependekeza yafuatayo:
1. Mkoa Mama wa Geita ubakiwe na Wilaya tatu ambazo ni Wilaya ya Geita, Mbogwe na Wilaya ya Nyang'hwale.
2. Imependeleza iombwe Wilaya ya Sengerema ambayo ipo Mkoa wa Mwanza, ili iweze kukamilisha Wilaya nne za Geita pamoja na Wilaya Pendekezwa ya Busanda.
3. Mkoa wa Chato imependekezwa kwa iundwe na Wilaya za Geita ambazo ni Chato yenyewe, na Wilaya ya Bukombe.
4. Pia imependekezwa kutoka Kigoma, iombwe eneo kutoka Wilaya ya Kakonko, pia kutoka Kagera imependekezwa ziombwe Wilaya mbili ambazo ni Biharamulo na Wilaya ya Ngara.
Mapendekezo haya yamekamilika na yamekubaliwa na wajumbe wote wa RCC.
Sasa yatapelekwa kwenye Wizara husika ili yaweze kufanyiwa kazi.
Zaidi, soma; News Alert: - Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato
Siyo kwamba unapendekeza ,Hayati alikwishapendekezaNapendekeza uitwe mkoa wa Rubondo makao makuu chato
Morogoro ina vigezo vyote bila hata kuokota okota na kuomba omba wilaya mkoa jirani.mkuu kuna ujinga mwingi sana hii nchi. Umaacha kuigawa Moro au Tabora halafu unaenda kuokoteza wilaya kwa sababu za utashi wa marehemu
Hilo nalijua mkurugenzi .nilimaanisha shule zilizopo bukoba zilijengwa na mkoa mzima wakafaidi walangira na kuna miundombinu kibao inejengwa na wananchi WA mkoa mzima kinachosikitisha ngara inajiunga kwenye mkoa mchanga kabisaMkuu majimbo ya kanisa RC hayazingatii mipaka ya kiserikali.
Kwa mfano Jimbo la Morogoro linachukua mpaka chalinze na bagamoyo ambapo ni Mkoa wa Pwani kiserikali.
Kwa hiyo Kugawanywa upya hiyo mikoa hakutaathiri Sana uwekezaji uliofanywa na Diocese
Morogoro inastahili kabisa kugawanywa! Siyo kwa ukubwa ule! Hata ukiiangalia tu kwenye ramani ya Nchi, unaona kabisa Morogoro ni Mkua mkubwa sana! Yaani mtu atoke Ulanga, Malinyi au Mlimba, mpaka afike Moro mjini yalipo Makao Makuu ya Mkoa, ni safari ya kutwa nzima!!!Buriani Geita. Ni ushamba kuna ulazima gani? Mbona Morogoro haigawiki?
Jambo la aibu ni jinsi wanavyolazimisha kuunga unga hizo wilaya. Morogoro ni muda mrefu sana inaliliwa lakini wapiMorogoro inastahili kabisa kugawanywa! Siyo kwa ukubwa ule! Hata ukiiangalia tu kwenye ramani ya Nchi, unaona kabisa Morogoro ni Mkua mkubwa sana! Yaani mtu atoke Ulanga, Malinyi au Mlimba, mpaka afike Moro mjini yalipo Makao Makuu ya Mkoa, ni safari ya kutwa nzima!!!
Ila ndiyo hivyo tena! Chato inakuwa Mkoa kwa lengo tu la kuienzi Legacy ya magufuli! Moro imekosa kabisa mtu wa kuisemea! Inatia huruma sana.
Tuliza kishuduNenda kamuenzi wewe
Tuliza kishuduShukuru nimekoment uzi wako mataga