Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?


Yes haina empirical data/evidence tu but patterns, behaviors, characters etc, na morals grouping zake zinaenda sawa katika maeneo mengi sana qualitatively, ndio maana watu mbalimbali wanaposoma hapa wanajiona na kusema WoW! Sio research zote zinahusisha statistics na zinakubalika tu generally. Ndio maana kuna science na arts na zote zina-complement kwenye maisha ya binadamu
 
Mkuu unakosea sana kudhani kila knowledge inahitaji ushahidi wa kisayansi.

Isome knowldge na aina zake, nadhani utajua si kila knowldge inahitaji ushahidi wa kisayansi.
 
Same date with my kid....haka katoto unaeweza kukaita kakaitika baada ya dk 5.....na sio kwamba hakajasikia🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣Huyo ni Mimi kabisa yani.

S/he is a real Gemini
 
Hujathibitisha kitu hapo, umelazimisha juwa unajua hivyo tu.

Thibitisha.
Labda kama hujataka tu kuelewa lakini mbona hoja yangu ime eleweka vizuri.

Ni sawa na mtu kusema endapo jua litastop Kwa muda WA siku 3 Basi mimea yote itakufa na mimea yote ikifa then watakufa pia viumbe wote wanao tegemea mimea for survival wakiwemo binadamu Kwa sababu binadamu wanategemea natural oxygen kutoka Kwa mimea ili kusurvive ( Najua utasema mitungi ya oxygen ita tumika kama mbadala wa oxygen )

It is just a matter of common sense
 
Pattern gani? Weka evidence hapa.
 
Mkuu unakosea sana kudhani kila knowledge inahitaji ushahidi wa kisayansi.

Isome knowldge na aina zake, nadhani utajua si kila knowldge inahitaji ushahidi wa kisayansi.
Knowledge ni nini? Unajuaje hii ni knowledge na hii ni kabobo ya mumbo jumbo tu?
 
Hujathibitisha menstrual cycle zinategemea uvutano wa jua na mwezi. Hakuna ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.

Umeweka conjecture tu.
 
Hujathibitisha menstrual cycle zinategemea uvutano wa jua na mwezi. Hakuna ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.

Umeweka conjecture tu.
Msome Manly P. Hall " The secret teachings of all the time"
 
Kwa nini nisome kitabu hiki? N8na vitabu zaidi ya 1,000 vya kusoma katika list yangu, kwa nini nisome hiki?
Kwa sababu kinajibu swali lako vizuri. Wewe si umesema unataka uthibitisho WA connection Kati ya moon na menstrual circle?

Basi msome Manly P. Hall.
 
Kwa sababu kinajibu swali lako vizuri. Wewe si umesema unataka uthibitisho WA connection Kati ya moon na menstrual circle?

Basi msome Manly P. Hall.
Katika kitabu hicho, ukurasa gani anatoa uthibitisho huo, na kaandika nini kilichothibitisha kuwa menstruation cycle inatokana na uvutano wa dunia na mwezi? Weka ukurasa hapa, weka maneno yake halisi hapa.

Si uweke hiyo hoja hapa tu?

Mimi hata kwa kuangalia reviews za kitabu hicho nakutana na Masonic mumbo jumbo, esoteric knowledge and such spiritualism bullshit.

Kwwnye dibaji ya kitabu tu anasema kwamba he holds nothing in the book as infallibe, hizo mystwries akizoziandika anasema zinaweza kuwa na makisa.

Sasa wewe ulichosoma kwake, mtu ambaye anasema alichoandika kinaweza kuwa na makosa, unajuaje alichoandika kuhusu mwnstruatiin na mwezi hakina makisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…