Gemu ya Simba na Horoya ilikuwa na mambo mengi ya kufikirisha sana

Mnapenda Sana kujitoa ufahamu ili muonekane mmeanzisha nyuzi. Na Kwa vile mnapata sapoti ya wajinga mnadhani mmeandika vitu vya maana kumbe bure kabisa.
 
Watakutukana kweli kweli. Lakini ndiyo hao hao, wakati fulani walikuwa wakianzisha mada za bandika bandua; wakiituhumu Yanga/GSM kutoa bahasha za kaki kila pale waliposhinda mechi zao. Na hawakuwa na ushahidi wowote ule!!

Hakika usahaulifu ni kitu kibaya sana. By the way mimi sipo upande wowote ule kwenye hii vita yenu. Nilikuwa najaribu tu kuweka kumbukumbu sawa.
 
Naunga mkono hoja, huu ni uzi bora wa sports lwa mwezi huu wa 3.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km umeumia lia kimya kimyaa.

Siwezi kuumia hata kidogo kwa mtu anayeamini lugha chafu ndio hoja yake nakuangalia tu halafu nacheka tu ihiiiii
 
Kama 7 zilikuuma nenda kaseme kwa mama yako nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Za kuhonga zile boss huna hoja siwezi kukusikiliza mzee baba
 
Naunga mkono hoja, huu ni uzi bora wa sports lwa mwezi huu wa 3.

Pamoja sana Mwamba shikilia hapo hapo ntazidi kutoa nyuzi kali zaidi umenibless sana bablai
 
Chakusikitisha ana awaaribu wale wanao mtegemea kama mtu mzima yaaani huu ujinga ata mtoto wa miaka miwili hawezi sema

Kauka basi mamilo, ulitaka kusema nini labda.
 
... sikuona shambulizi lolote la maana lililopangwa likapangika la Simba tofauti na jinsi Yanga inavyotafuta magoli.
Sasa mbona unalinganisha timu zinazoshiriki mashindano mawili tofauti, moja Klabu Bingwa Afrika na nyingine sijui shirikisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…