Gemu ya Simba na Horoya ilikuwa na mambo mengi ya kufikirisha sana

Masihara ya upofu na uzuzu
 
Manara alishasema pale Utopoloni wenye akilli ni wawili tu. Hivyo hatuwezi kushangaa hili andiko lako.

Kama kuteseka na bado mtateseka sana, mnatamani Chama angekuwa Aziz Ki ila ndo hivyo haiwezekani😆😆😆
 
Kama bado haujawa mchawi, na kama haujitambui kuwa wewe ni mchawi. Basi ukiendelea na tabia hii miezi miwili haipiti utapaa kwa ungo tumbafu wewe 😂😂😂😂😂
 
Nahis kabisa ulikuwepo uwanjani ukishuhudia jamaa beki mwenye marangi rangi kichwani akikalishwa chini na Chama. Angekuwa Utopolo yule lazima mwiko ungekatikia nyuma huko ulikochomekwa😂.

Wenyewe wameridhika kiroho safi kabisa na huto tugoli 7 walitozawadiwa Lupaso lakini maumivu yamebaki matopeni kwa vyura.
 
Sasa mbona unalinganisha timu zinazoshiriki mashindano mawili tofauti, moja Klabu Bingwa Afrika na nyingine sijui shirikisho?

Shirikisho pale mlipotaka kuchoma nchi ya watu South Afrika ila nyie jamaa bana mliwaza nini kukoka moto kiwanjani kabisa na mafiga mkaweka kabisa[emoji1]
 
Kama bado haujawa mchawi, na kama haujitambui kuwa wewe ni mchawi. Basi ukiendelea na tabia hii miezi miwili haipiti utapaa kwa ungo tumbafu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio namalizia kozi ya kupaa ili twende wote morroco tukaangalie marudio na Raja taka kituo ntakupitia mtani jembe[emoji1]
 

Eleza kwa maneno 10 manake sijakuelewa mara mwiko mara rangi rangi duuu ngumu kumeza erooo
 
Manara alishasema pale Utopoloni wenye akilli ni wawili tu. Hivyo hatuwezi kushangaa hili andiko lako.

Kama kuteseka na bado mtateseka sana, mnatamani Chama angekuwa Aziz Ki ila ndo hivyo haiwezekani[emoji38][emoji38][emoji38]

Ooops! Aziz k awe chama tena nani kasema mbona safari iliishia pale Berkane halafu ile community Shield 2-1 hakuwepo kwani huyo atawaonea horoya na Vipers tu
 
Eleza kwa maneno 10 manake sijakuelewa mara mwiko mara rangi rangi duuu ngumu kumeza erooo
Kwani mwiko haujauona hapo mkuu au umeamua kuupotezea kiaina😂😂
 
Yaaan jitu liko huko bonyokwa limekula mihogo basi linakuja kujamba huku eti Simba wameshinda kwa mchongo ...kenge ww mbona na nyinyi hamjashinda hizo saba za mchongo[emoji41]
 
Yaaan jitu liko huko bonyokwa limekula mihogo basi linakuja kujamba huku eti Simba wameshinda kwa mchongo ...kenge ww mbona na nyinyi hamjashinda hizo saba za mchongo[emoji41]

Sio ugali na Sukari tena sema Yanga wanakula Mihogo plus Ugali na Sukari
Mara Kenge yupi sasa yule mwenye ulimi mfupi au mrefu[emoji1][emoji1]
Tuliza Mori erooo
 
Anatia kinyaa kisa tuu hakubaliani na ukweli

Kinyaa tena hebu rudia tena kusoma kama hujaja na comment hakika huo ndio uzi bora toka kwa chambuzi makini kwani nimewasaidia kuwajulisha uchafu wa timu yenu japo mimi Simba pia.
 
Basi moja bila

Hiyo umesema wewe rafiki Sidai mimi japo ni Simba makopo ila ile gemu tulinunua kabisa ulipita mchango wewe hukuchanga mimi nlitoa kibunda kikubwa sana.
 
Inafungwa manchester goli 7, arsenal goli 8 ila unashangaa simba kushinda goli 7. Unadhani kwa malipo ya Tsh ngapi timu ya nje itakubali huo uzalilishaji unaoandikwa kwenye historia? UPUUZI.
 
Inafungwa manchester goli 7, arsenal goli 8 ila unashangaa simba kushinda goli 7. Unadhani kwa malipo ya Tsh ngapi timu ya nje itakubali huo uzalilishaji unaoandikwa kwenye historia? UPUUZI.

Sema nini hauna HOJA Masta, Simba ile gemu alinunua si unajue jamaa wana vikwazo now so wakiona kibunda tu wanachanganyikiwa gemu tuliyocheza halali ni ile ya Raja tu hata ya mtibwa ilipita bahasha sema mimi Simba huwa nachanga sana ngojea nawe nikuunge kwenye grupu la michango
 
Alinunua Tsh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…