Gemu ya Simba na Horoya ilikuwa na mambo mengi ya kufikirisha sana

Matatizo ya Afya ya akili yanazidi kujidhihiriaha

Aina gani boss hiyo ya matatizo ya akili.
Hebu rudia tena kusoma ulichoandika halafu rudia tena kuandika mara tatu.
 
Umekula na kushiba lakini?
 
Umekula na kushiba lakini?

Sana tu nimecheck sukari mara ya mwisho randomly ni 8.4mmol/l hiyo si siyo hypogycaemia masta means nimeshiba fuluu

Ila Simba sisi ni wakali wa kona kona
 
Whatever but someone is mentally damaged [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji16][emoji16]mentally damaged causes by what masta space occupying lession, Stress, infection, family history or Depression/burnout from footaball

Ila kwanini tulitaka kuchoma uwanja wa watu siku ile assume moto ungesambaa ule si tungechoma south nzima
 
Goli 7 zimewauma sana baadhi ya wapumbavu,wenyewe Horoya wamekubali kipigo,gongowaz mla mihogo anakosoa uumbaji wa magoli waliojaaliwa Simba na Maulana huku awali walivyofungwa 3 na raja mlifurahia mkijua ndio underdog

Pumbaaaafu
 
Umeanza vizuri sema umeharibu mwishoni hauna hoja Pita Kule Masta
 
Duh! 🤨🤨🤨 Utopoloni Kuna kazi
 
Kuna Tatizo kubwa Sana la afya ya akili Tanganyika
 
Ni wakati wa vitendo tu. Ongeeni na data za CAF.

Lazima utakuwa zumaridi. Huwezi kuw mtu.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja,wanaoamini simba itafanya maajabu quarter final sababu ya game ya Horoya wajiandae kulia kilio cha kwikwi
 
Naunga mkono hoja,wanaoamini simba itafanya maajabu quarter final sababu ya game ya Horoya wajiandae kulia kilio cha kwikwi

Jamaa walitoa Kibunda kuanzia gemu ya mtibwa uzuri Raja hawaongeki wale subir aibu kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…