Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi?
Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti cha ufundi wakienda kuomba nafasi za jeshi wanagombaniwa. Vipi sasa hivi?
2010 kijana mwenye cheti cha IT akiomba upolisi alikuwa anagombaniwa . Vipi sasa hivi hali ikoje?
Miaka michache tu nyuma kijana mwenye degree ya Record management alikuwa anagombaniwa kwenye vyuo vya utumishi wa umma awe mkufuzi.
Nimetoa mifano michache tu.
Bado Kuna fursa sasa ingawa zinahitaji jicho la 3, unaweza kuingia kipokipo kujichomeka kwenye fani ambazo unadhani Zina soko lakini ukimaliza kusoma tu soko halipo.
Hata kwenye kujiajiri nako kuna fursa ingawa ni rare. Usipotuliza akili utaenda kujiajiri kwenye fursa zilizopitwa na wakati .
Mda huu gen Z badala ya kutumia akili kukimbizana na fursa wanaendeshwa na wanasiasa. Mtaji wa wanasiasa ni matatizo ya wananchi ambayo hayawezi kuisha. abadani.
Wanasiasa hawatamaliza matatizo yenu vijana, mtapata msongo wa mawazo uzeeni kwa ugumu wa maisha.
Tumieni akili kumulika fursa.
Muda uko limited sana, uzee huo.