Mnawaza kupinduliwa na watoto wa GenZ wasio na silaha, CCM vichwa maji kweli. Sikiliza, sisi wazee tunataka huduma za maji ambazo mmeshindwa miaka 64 iliyopita. Sasa kipindupindu kinapiga hodi mijini na vijijini. Zaidi ya hapo watu wameichoka CCM kwa ulaghai mwingi wa ahadi hewa, manatawala kwa kutumia majeshi lakini uwanja ukiwa fair Alizeti hamna chenu. Hivi hamuoni aibu, mpaka leo dar watu wanatunza mavi majumbani kwenye mashimo ya maji taka. Hakuna sewage system nzuri