Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

Gen Z wa Tanzania wa kike wanashinda tik tok kubinua makalio, midomo na tumiguu kama ndezi aliye na kideli. Wa kiume wanashinda kubet, kuchambua mpira na kumuangalia chris brown akicheza komasava. Wengine ndo chawa wa akina Abduly bahati mbaya ni hadi mawaziri na viongozi vijana. Kazi yao kumsifia Rais ili wabaki kutembelea v8.
Cc Lukas mwashamba
 
Watanzania wanajadili mambo yao kisomi, hawana ukichaa wa kuzurura mabarabarani. Hata uhuru wetu tuliupata kwa kujenga hoja tu, mkoloni akalegea kama mlenda wa Ng'ungumalwa au Ng'wamagigisi
šŸ˜†šŸ¤£šŸ¤£ Ng'wamagigisi,Mkula ndani ya Simiyu pale. Nimepamiss sana pale maana nilipataga demu wa kupumzikia hapo akiwa ndo kwanza kahitimu shule Kowak Girls.
 
Gen Z tupo?

Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?

Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?

Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials wanakaa sasa kwanini tupo kimya?

Tunapandishiwa bundles kila siku kimya, club house imezuiliwa kimya, sasa vuguvugu X (Twitter) kufungiwa kimya! Mnafikiri wataishia hapo? Tiktok itafuata, wataenda Insta na kote turudi zama za millenials kutumiana barua kwa njia ya posta.

Sisi wengi content creation ndio inatuingizia hela, sasa "UCHUMI WETU" unaguswa tuko kimya, why? We don't have kuingia barabarani kumake the difference, tuwaletee the fight ambako tunajua kupambana vizuri.

Tukisikia kuna mbongo anashindana sehemu anahitaji votes zetu huwa tunashow up vizuri, tukisikia kuna taifa limetuonea au kuna page imefanya udhalilishaji kwa mwezetu huwa tunaenda kuwaonesha, sasa hapa tunashindwa nini?

TCRA na Nape wanataka kutuharibia 'Uchumi' wetu zile page zao mbona tunaziangalia tu? Hashtag ya #FreeX wapi? Tunapandishiwa Tax kila siku hastag ya #AffordableInternet iko wapi? Kwanini hatuendi spam pages za international bodies watie presha Tz? Tuna group of individuals ambao wakiandika a text Dunia inasimama, tuna poets wazuri sana kwanini TUMELALA?

This is a wake up call to us all, lets all bring the fight the best way we know. Gen Z muda wetu wa kuvimba huu:MadCool::MadCool::MadCool:
Tanzania hatujawahi na Wala haitakuja kutokea kuiga upumbavu.Kama unaona ni vyema Anza wewe kutoka Barabarani ule chuma šŸ‘‡šŸ‘‡

View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1804071374215926002?t=dqykuE-6FDCux-ly3I4Png&s=19

Pili si mlipewa rubusa ya kuandamana mkawa mnapiga selfie ,au maandamano yenu yaliishia wapi? Tanznaia Huwa hatucheki na ngedere
 
acheni kwanza mihemko, ghadhabu, matusi na kutukana viongozi, au imewasaidia? unao waelezea wametambua kwamba hilo halijawasaidia wala kuwapa ahueni hata kidogo kwenye maisha yao šŸ’

kutegemea, upinzani na wanaharakati, ilihali nao wana mahitaji yao shida zao na familia zao za kuzipambania, ni makosa.
hao majirani ulio wataja wamebaini hili na kuona kwamba hakuna nia wala dhamira ya kweli kwa vyama vya kisiasa, hususan upinzani na wanaharakati kuwasemea na kuwatetea bali kujinufaisha wao wenyewe kwa maslahi yao na familia zao....

kutegemea hashtags# pekeyake hakuna maana wala tija yoyote, bila kujitokeza panapostahili na kuchukua hatua muhimu na muafaka. watakao shindwa kujitokeza waendelee kuhamasisha wengine kujitokeza zaidi kupitia mitandao ya kijamii, na kuposti, picha na video, kuuarifu umma, Africa na dunia kinachoendelea. angalau lolote linaweza kutokea šŸ’

kung'ag'ana na upinzani, mihemko, ghadhabu na matusi sio kitu sio lolote šŸ’
Sawa Dereva wa Abdul Samiah. Abdul anaendeleaje?.
 
Hucheki na ngedere gani? Wakati wewe ndio ngedere, Tena mwenye tako jekundu.
mihemko, ghadhabu na matusi haviwez kukutoa kuishi nyumbani kwa wazazi wako gentleman 🤣

ni Lazima ujitambue uache kudeka, uache uvivu, uache kufuata mkumbo na uwe mwenye bidii asie kata tamaa ndio unaweza kua na fikra huru na unaweza kujitegemea mwenyewe na sio kutegemea kutukana ili uonekane jasiri na hodari mbele ya chama chako šŸ’

sawa gentleman achana na mambo ya kutukana tukana šŸ’
 
Hauwezi kunielewa maana akili zako zimeishia kwenye jengo la Lumumba. Soma vizuri utaelewa maana yake.
labda unaweza kujadili siasa za Africa Kusini naweza kukuelewa, uliwahi kujadili vizur angalau..

lakini siasa za Africa Mashariki naona bado sana, mihemko, ghadhabu na matusi bado ndio kipaumbele chenu mahususi sana, hususan upinzani wa serikali Tanzania šŸ’

na hiyo ni useless na ni nonsense haisaidiagi kitu šŸ’
 
Gen z is illusion

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa tabia zako ,hustle na generation z only thing mmpewa ni lack of vision

Napenda vijana mnavyothubutu
Is it? Millenials na Gen Z wanafikiria sawa, their struggles ni sawa, hata approach ni sawa? Fikiria tena
 
Gen Z wa Tanzania wa kike wanashinda tik tok kubinua makalio, midomo na tumiguu kama ndezi aliye na kideli. Wa kiume wanashinda kubet, kuchambua mpira na kumuangalia chris brown akicheza komasava. Wengine ndo chawa wa akina Abduly bahati mbaya ni hadi mawaziri na viongozi vijana. Kazi yao kumsifia Rais ili wabaki kutembelea v8.
Mkuu hiyo % ndogo tu ya gen Z. Unataka kutuambia hakuna millenials na wa nyuma zaidi wanaofanya hayo? Hiki ni kisingizio tu cha kumaliza nguvu zetu na kutudidimiza wengine muonekane bora
 
Sema Keybord worrior, Nchi imejaaa ma Keybord worriou wengi mno kuliko Taifa lolote lile Duniani.

Wakenya hawana Keybord worrior wao ni vitendo tu.
Keyboard warriors mnaowadharau wanaweza badilisha dunia. Times have changed, mapambano yanaweza ishia hapo hapo nyuma ya keyboard, ni kufanya maamuzi tu
 
Time Will Come .Nature will take it's own course. No need to hurry!
 
Sisi mpaka tukapewa Mange lakini wapi wakenya wameshangaza mana wameandamana maandamano ambayo hayana kiongozi yani wamehamasishana wao kwa wao hichi ndo kizazi chenye umoja
Na hapa ndio nguvu kubwa inapopatikana, sababu wote wameungana kwenye common goal
 
Wakenya tangu enzi wana ujasiri, Tanzania imejaaa wajinga tupu, asilimia 90 ya Watanzania ni Mazezeta wajinga. Sana sana tunacho weza ni kuandamana kwa ajiki ya Yanga na Simba ila sio kwa ajili ya Maisha. Hii ni faida kubwa sana kwa watawala.
Kwenye hiyo 90% na wewe umo kwenye hao mazezeta? Unaamini wewe ni zezeta, auhujaamua tu kumake a difference?
 
acheni kwanza mihemko, ghadhabu, matusi na kutukana viongozi, au imewasaidia? unao waelezea wametambua kwamba hilo halijawasaidia wala kuwapa ahueni hata kidogo kwenye maisha yao šŸ’

kutegemea, upinzani na wanaharakati, ilihali nao wana mahitaji yao shida zao na familia zao za kuzipambania, ni makosa.
hao majirani ulio wataja wamebaini hili na kuona kwamba hakuna nia wala dhamira ya kweli kwa vyama vya kisiasa, hususan upinzani na wanaharakati kuwasemea na kuwatetea bali kujinufaisha wao wenyewe kwa maslahi yao na familia zao....

kutegemea hashtags# pekeyake hakuna maana wala tija yoyote, bila kujitokeza panapostahili na kuchukua hatua muhimu na muafaka. watakao shindwa kujitokeza waendelee kuhamasisha wengine kujitokeza zaidi kupitia mitandao ya kijamii, na kuposti, picha na video, kuuarifu umma, Africa na dunia kinachoendelea. angalau lolote linaweza kutokea šŸ’

kung'ag'ana na upinzani, mihemko, ghadhabu na matusi sio kitu sio lolote šŸ’
Matusi ni nini? Viongozi kuambiwa ukweli? Embu kuwa serious basi uoneshe ukongwe wako. Una ujumbe gani kwa 'Bumunda' ambaye tunayaona matusi yake kweli na yuko proud kufanya hivyo?
 
Gen Z wa Tanzania wanachoweza ni uchawa na kulamba viatu vya watesi wao.

Kwa wanaume Gen Z wa Tanzania akijitahidi sana anaishi kwa dada yake aliyeolewa akisikilizia namna dada yake akilalama akipigwa miti šŸ† na shemeji yake!
 
Back
Top Bottom