Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

Gen Z wa Tanzania wanachoweza ni uchawa na kulamba viatu vya watesi wao.

Kwa wanaume Gen Z wa Tanzania akijitahidi sana anaishi kwa dada yake aliyeolewa akisikilizia namna dada yake akilalama akipigwa miti 🍆 na shemeji yake!
HIki ni kisingizo tu na ufinyu mdogo uko/mko nao, yaani % ndogo ya watu basi inakuwa generalized kwa watu wote!
 
TCRA na Nape wanataka kutuharibia 'Uchumi' wetu zile page zao mbona tunaziangalia tu? Hashtag ya #FreeX wapi? Tunapandishiwa Tax kila siku hastag ya #AffordableInternet iko wapi? Kwanini hatuendi spam pages za international bodies watie presha Tz? Tuna group of individuals ambao wakiandika a text Dunia inasimama, tuna poets wazuri sana kwanini TUMELALA?
Hawa nikuwasubiri kwenye KAMPENI lazma tuwapige mawe
 
Matusi ni nini? Viongozi kuambiwa ukweli? Embu kuwa serious basi uoneshe ukongwe wako. Una ujumbe gani kwa 'Bumunda' ambaye tunayaona matusi yake kweli na yuko proud kufanya hivyo?
ni vile vitu ambavyo havina maana mnaimbaga mkiwa na mihemko kuwafukuza wenye hekima na busara kuambatana nanyi na zaidi sana kuwapuuza 🐒

vijana wa kizazi kipya Kenya wameona hiyo ni useless na nonsense wameachana nayo na kuja na revolutionary mindset nidhamu mbele hata kwa anae wapinga 🐒
 
Gen Z tupo?

Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?

Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?

Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials wanakaa sasa kwanini tupo kimya?

Tunapandishiwa bundles kila siku kimya, club house imezuiliwa kimya, sasa vuguvugu X (Twitter) kufungiwa kimya! Mnafikiri wataishia hapo? Tiktok itafuata, wataenda Insta na kote turudi zama za millenials kutumiana barua kwa njia ya posta.

Sisi wengi content creation ndio inatuingizia hela, sasa "UCHUMI WETU" unaguswa tuko kimya, why? We don't have kuingia barabarani kumake the difference, tuwaletee the fight ambako tunajua kupambana vizuri.

Tukisikia kuna mbongo anashindana sehemu anahitaji votes zetu huwa tunashow up vizuri, tukisikia kuna taifa limetuonea au kuna page imefanya udhalilishaji kwa mwezetu huwa tunaenda kuwaonesha, sasa hapa tunashindwa nini?

TCRA na Nape wanataka kutuharibia 'Uchumi' wetu zile page zao mbona tunaziangalia tu? Hashtag ya #FreeX wapi? Tunapandishiwa Tax kila siku hastag ya #AffordableInternet iko wapi? Kwanini hatuendi spam pages za international bodies watie presha Tz? Tuna group of individuals ambao wakiandika a text Dunia inasimama, tuna poets wazuri sana kwanini TUMELALA?

This is a wake up call to us all, lets all bring the fight the best way we know. Gen Z muda wetu wa kuvimba huu
:MadCool::MadCool:

Pia Soma

Gen z ni waliozaliwa mwaka gani mpaka gani usije kuta unaongea na wazee humu
 
Anza wewe mkuu. Tupo nyuma yako. Ukila shaba wengine tupate pakutokea.
 
Back
Top Bottom