Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

Cc Lukas mwashamba
 
Watanzania wanajadili mambo yao kisomi, hawana ukichaa wa kuzurura mabarabarani. Hata uhuru wetu tuliupata kwa kujenga hoja tu, mkoloni akalegea kama mlenda wa Ng'ungumalwa au Ng'wamagigisi
πŸ˜†πŸ€£πŸ€£ Ng'wamagigisi,Mkula ndani ya Simiyu pale. Nimepamiss sana pale maana nilipataga demu wa kupumzikia hapo akiwa ndo kwanza kahitimu shule Kowak Girls.
 
Tanzania hatujawahi na Wala haitakuja kutokea kuiga upumbavu.Kama unaona ni vyema Anza wewe kutoka Barabarani ule chuma πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1804071374215926002?t=dqykuE-6FDCux-ly3I4Png&s=19
Pili si mlipewa rubusa ya kuandamana mkawa mnapiga selfie ,au maandamano yenu yaliishia wapi? Tanznaia Huwa hatucheki na ngedere
 
Sawa Dereva wa Abdul Samiah. Abdul anaendeleaje?.
 
Hucheki na ngedere gani? Wakati wewe ndio ngedere, Tena mwenye tako jekundu.
mihemko, ghadhabu na matusi haviwez kukutoa kuishi nyumbani kwa wazazi wako gentleman 🀣

ni Lazima ujitambue uache kudeka, uache uvivu, uache kufuata mkumbo na uwe mwenye bidii asie kata tamaa ndio unaweza kua na fikra huru na unaweza kujitegemea mwenyewe na sio kutegemea kutukana ili uonekane jasiri na hodari mbele ya chama chako πŸ’

sawa gentleman achana na mambo ya kutukana tukana πŸ’
 
Hauwezi kunielewa maana akili zako zimeishia kwenye jengo la Lumumba. Soma vizuri utaelewa maana yake.
labda unaweza kujadili siasa za Africa Kusini naweza kukuelewa, uliwahi kujadili vizur angalau..

lakini siasa za Africa Mashariki naona bado sana, mihemko, ghadhabu na matusi bado ndio kipaumbele chenu mahususi sana, hususan upinzani wa serikali Tanzania πŸ’

na hiyo ni useless na ni nonsense haisaidiagi kitu πŸ’
 
Gen z is illusion

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa tabia zako ,hustle na generation z only thing mmpewa ni lack of vision


Napenda vijana mnavyothubutu
Is it? Millenials na Gen Z wanafikiria sawa, their struggles ni sawa, hata approach ni sawa? Fikiria tena
 
Mkuu hiyo % ndogo tu ya gen Z. Unataka kutuambia hakuna millenials na wa nyuma zaidi wanaofanya hayo? Hiki ni kisingizio tu cha kumaliza nguvu zetu na kutudidimiza wengine muonekane bora
 
Sema Keybord worrior, Nchi imejaaa ma Keybord worriou wengi mno kuliko Taifa lolote lile Duniani.

Wakenya hawana Keybord worrior wao ni vitendo tu.
Keyboard warriors mnaowadharau wanaweza badilisha dunia. Times have changed, mapambano yanaweza ishia hapo hapo nyuma ya keyboard, ni kufanya maamuzi tu
 
Time Will Come .Nature will take it's own course. No need to hurry!
 
Sisi mpaka tukapewa Mange lakini wapi wakenya wameshangaza mana wameandamana maandamano ambayo hayana kiongozi yani wamehamasishana wao kwa wao hichi ndo kizazi chenye umoja
Na hapa ndio nguvu kubwa inapopatikana, sababu wote wameungana kwenye common goal
 
Wakenya tangu enzi wana ujasiri, Tanzania imejaaa wajinga tupu, asilimia 90 ya Watanzania ni Mazezeta wajinga. Sana sana tunacho weza ni kuandamana kwa ajiki ya Yanga na Simba ila sio kwa ajili ya Maisha. Hii ni faida kubwa sana kwa watawala.
Kwenye hiyo 90% na wewe umo kwenye hao mazezeta? Unaamini wewe ni zezeta, auhujaamua tu kumake a difference?
 
Matusi ni nini? Viongozi kuambiwa ukweli? Embu kuwa serious basi uoneshe ukongwe wako. Una ujumbe gani kwa 'Bumunda' ambaye tunayaona matusi yake kweli na yuko proud kufanya hivyo?
 
Gen Z wa Tanzania wanachoweza ni uchawa na kulamba viatu vya watesi wao.

Kwa wanaume Gen Z wa Tanzania akijitahidi sana anaishi kwa dada yake aliyeolewa akisikilizia namna dada yake akilalama akipigwa miti πŸ† na shemeji yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…