Blessed Tajiri
Member
- Dec 16, 2023
- 57
- 82
- Thread starter
-
- #41
Ungekuwa ndugu wa mmoja wa watu waliochukuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajulikani walipo, bado ungesema haya?Tunachoweza ni kupiga kilele JF peke yake, hayo mengine waachie wakenya
HIki ni kisingizo tu na ufinyu mdogo uko/mko nao, yaani % ndogo ya watu basi inakuwa generalized kwa watu wote!Gen Z wa Tanzania wanachoweza ni uchawa na kulamba viatu vya watesi wao.
Kwa wanaume Gen Z wa Tanzania akijitahidi sana anaishi kwa dada yake aliyeolewa akisikilizia namna dada yake akilalama akipigwa miti π na shemeji yake!
Hawa nikuwasubiri kwenye KAMPENI lazma tuwapige maweTCRA na Nape wanataka kutuharibia 'Uchumi' wetu zile page zao mbona tunaziangalia tu? Hashtag ya #FreeX wapi? Tunapandishiwa Tax kila siku hastag ya #AffordableInternet iko wapi? Kwanini hatuendi spam pages za international bodies watie presha Tz? Tuna group of individuals ambao wakiandika a text Dunia inasimama, tuna poets wazuri sana kwanini TUMELALA?
Toa ukweli wako!HIki ni kisingizo tu na ufinyu mdogo uko/mko nao, yaani % ndogo ya watu basi inakuwa generalized kwa watu wote!
ni vile vitu ambavyo havina maana mnaimbaga mkiwa na mihemko kuwafukuza wenye hekima na busara kuambatana nanyi na zaidi sana kuwapuuza πMatusi ni nini? Viongozi kuambiwa ukweli? Embu kuwa serious basi uoneshe ukongwe wako. Una ujumbe gani kwa 'Bumunda' ambaye tunayaona matusi yake kweli na yuko proud kufanya hivyo?
Ni kipi Tanzania imeweza kufanya yenyewe pasipo kuhitaji msaada wowote ule wa kifedha au kitaalamu kutoka nchi za nje?Na wewe unaamini kwamba wewe ni zezeta huwezi kufanya kitu?
Gen z ni waliozaliwa mwaka gani mpaka gani usije kuta unaongea na wazee humuGen Z tupo?
Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?
Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?
Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials wanakaa sasa kwanini tupo kimya?
Tunapandishiwa bundles kila siku kimya, club house imezuiliwa kimya, sasa vuguvugu X (Twitter) kufungiwa kimya! Mnafikiri wataishia hapo? Tiktok itafuata, wataenda Insta na kote turudi zama za millenials kutumiana barua kwa njia ya posta.
Sisi wengi content creation ndio inatuingizia hela, sasa "UCHUMI WETU" unaguswa tuko kimya, why? We don't have kuingia barabarani kumake the difference, tuwaletee the fight ambako tunajua kupambana vizuri.
Tukisikia kuna mbongo anashindana sehemu anahitaji votes zetu huwa tunashow up vizuri, tukisikia kuna taifa limetuonea au kuna page imefanya udhalilishaji kwa mwezetu huwa tunaenda kuwaonesha, sasa hapa tunashindwa nini?
TCRA na Nape wanataka kutuharibia 'Uchumi' wetu zile page zao mbona tunaziangalia tu? Hashtag ya #FreeX wapi? Tunapandishiwa Tax kila siku hastag ya #AffordableInternet iko wapi? Kwanini hatuendi spam pages za international bodies watie presha Tz? Tuna group of individuals ambao wakiandika a text Dunia inasimama, tuna poets wazuri sana kwanini TUMELALA?
This is a wake up call to us all, lets all bring the fight the best way we know. Gen Z muda wetu wa kuvimba huu
Pia Soma