Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
πππππ dah.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππ dah.!
Nyie kizazi chenu kitakumbukwa kwa kubet kwa vijana wa kiume na kudanga kwa vijana wa kikeMnatukandia sana gen z
Na sisi tuna vya kwetu
Nawaona supa manki na shivo πππ
Ndo uyo uyo dogo yupo kwenye video ya wimbo wa black and white wa michael jackson. Last time nasoma habari zake alikua tejaHivi ni huyu ndiye aliyekuja kuwa mpiga "wanzuki" wa kufa mtu au namfananisha?π€
Phat farm, sean john na fubu kipindi hicho ndo brand zinazokimbiza.View attachment 3144061
Gen Z, hii inaitwa Phat Farm, ukiwa nayo miaka ya 2001, basi wewe unakuwa umeyapatia sana maisha πͺπΏ
Phat farm, sean john na fubu kipindi hicho ndo brand zinazokimbiza.
Miaka ya 2003/2004 hivi viatu ndio vilitamba sana π€£π€£π€£View attachment 3144061
Gen Z, hii inaitwa Phat Farm, ukiwa nayo miaka ya 2001, basi wewe unakuwa umeyapatia sana maisha πͺπΏ
Mimi 2000 nimetamba nayo sana.Miaka ya 2003/2004 hivi viatu ndio vilitamba sana π€£π€£π€£
Bila kusahau PUMAPhat farm, sean john na fubu kipindi hicho ndo brand zinazokimbiza.
Hii Walkman mpaka leo ninayo nyeusi bado kama mpya kabisa, watoto hata kuitizama hawana hawataki π
Kwa maeneo ya Songea vilianza kutamba sana miaka ya 2003 ππMimi 2000 nimetamba nayo sana.
Hii kitu na ile ya bushstars ilikuwa inanipelekea kuamini pengine kuna ukweli.
Hii kitu na ile ya bushstars ilikuwa inanipelekea kuamini pengine kuna ukweli.