Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

Sony walkman zilikuwepo bongo? Labda kwa washua.
Nilishuka nayo JKNA mwaka 1987 nikitokea kwa matajiri wa mafuta ambao walibadili mafuta kwa maendeleo ya wananchi wao
Yaani nilienda miaka ya 70 wakiwa na 📺 kitambo
Nikiangalia sisi mpaka leo bado rasilimali zinachotwa na watoto wanakaa chini daaa
 
images - 2024-11-26T231657.838.jpeg
 
Back
Top Bottom