Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

images (87).jpeg
 
View attachment 3144044

Gen Z, hii kitu ilikuwa inafungiwa chumbani kwa baba, inatolewa jumamosi tu baada ya kumaliza kazi za nyumbani. Ninyi kizazi cha nyoka hamuwezi kuelewa 🤣​
Umeme ulikatika na mimi nilikuwa naangalia Jason's Lyrics na masela dah🥹 halafu tulikuwa tumetoroka hostel kwa hiyo lazima jioni tusepe. Nilitamani kuondoka na deki
 
Umeme ulikatika na mimi nilikuwa naangalia Jason's Lyrics na masela dah🥹 halafu tulikuwa tumetoroka hostel kwa hiyo lazima jioni tusepe. Nilitamani kuondoka na deki
Miaka ya 90's ukikuta mtu ni mjanja, basi muheshimu sana, jua kapitia mengi kufika hapo. Yaani mkanda mmoja wa muziki mnaazimishana mtaa mzima 😁​
 
Back
Top Bottom