Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Kila mtoto alipata laki moja 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtoto alipata laki moja 🤣🤣🤣
Hawa watoto hawawezi kuelewa kituHii walkman ilikuwa balaa Mziki wa kufa mtu enzi hizo tuko na Mr II, 2Pack, Luckdube, Pepekalee, Bakuba, Mafananyana, Mafura, Kanda bongoman
Kwa wakiti ule ilikuwa pesa ndefu😂😂😂Kila mtoto alipata laki moja 🤣🤣🤣
Hapo wanapanga kwenda kuroga mtu 😁Aah, Timmy na Tabitha…, the Passions ITV 😃😃
George of the jungle hii Mkuu ?
Nikiwa form one niling'oa demu.. na hii kitu
Du! Long time sana aisee. Hiki kifaa kilikuja baada ya walkmans au kilitangulia?Ilkuwa ni music portable device mahususi kucheza nyimbo zilzo hifadhiwa kwa njia ya cd
Na nduguze wa damu:-
Kristapeni,Kwinini,Tetrasaiklini nk.
Dubi dubi 😁
Baada ya floppy zikaja flash zina 16 mbView attachment 3144115
Gen Z, hawajawahi kutumia Floppy 😁
Hii hadi leo ipo wanaiona mkuu?