kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
na olewake uwe na bifu na dadako,hua unamchomekea ukimkuta kasimama na masela njiani(washenzi/chambia gunzi) yakimtongozaMama atasemaje? Itafahamika ukifika home. Halafu uliacha maharage yakaungua na uliambiwa uwe unaongeza maji
View attachment 3143979
olewake ,aambiwe akuoshe pawe na jiwe Fulani ...hua sisahau mpakaleo