Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
😄😄😄
Nakumbuka Mshua wangu (Ba Mdogo) alinunua dozen ya betri za dulacell akapewa na Walkman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄
Rebecca (Thaby)na Timmy (?)kama sijakosea.Bibi alionesha kuwa ni fundi/America's got talents!
Unaweza ukahisi kufa mazee 🤣Aisee [emoji3][emoji3] hii ulikuwa ukikosea vipimo inakuwa chungu!
Mama atasemaje? Itafahamika ukifika home. Halafu uliacha maharage yakaungua na uliambiwa uwe unaongeza maji
Na nduguze wa damu:-View attachment 3143980
🤣🤣🤣
Hapo unaenda kuwinda ndege wanaitwa kantyentye,jorowe au kwale.
Sharti uwe na kucha za miguu fupi kabisa.Laa sivyo,mkiupiga kwa vidole vyenye kucha ndevu(kupiga madochi)unachakaa kwa siku mbili tu.
Kipakiti kimoja/sachet moja ilichanganywa na maji tukanywa watoto wa mtaa mzima.
Ya kwetu nilikuwa naipaka mafuta ya pamba ing'ae zaidi.View attachment 3144010
Gen Z mshaendesha Foneksi nyie ? 🤣