nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Dah wanikumbusha zamani sana shekh...
Dinarzade na Shaharzade...
Kisa cha waziri mkuu na Douban mganga...
Kisa cha mvuvi...
Kisa cha mfanyabiashara na jini( nitakuua kama ulivyomuua mwanangu)...
Niligeuzwa nusu mtu na nusu jiwe na nyingine nyingi...
Zamani kulikua na vitabu.