GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
- Thread starter
- #81
View: https://youtu.be/3KL9mRus19o?si=ejCEd8uadwEJioaq
Gen Z, this is a timeless masterpiece 🫡
No Diggity,
No Doubt,...
No Diggity,
No Doubt,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikua wananisisimua kwakweli.....Ethan na theresaTimmy na Tabitha 😄😄😄
Hii tamthilia ilikuwaga na scene nzuri sana hasa kwa Ethan Julian na Theresa Fitzgerald
Na Miguel unamsahau?Walikua wananisisimua kwakweli.....Ethan na theresa
Namkumbuka miguel na kale kadem kake kapole nmekasahau jina.Na Miguel unamsahau?
Dadekiii, Road Rush 🤣🤣Hii vibanda vya kuchezesha games ilkuwa tsh200 dakika 10 unacheza
Duh! nimemkumbuka marehemu kaka
Si Lex Steele huyuView attachment 3144076
Gen Z, fanya yoteee ila usifuatilie mahubiri ya huyu mchungaji na mama mchungaji.
Gwen alikuwa ananikera sana 🤣🤣🤣Walikua wananisisimua kwakweli.....Ethan na theresa
Wengine tumeshudia wakishua wakitumia mana tulikuwa haturusiwi kuminyamunya tusije haribu🤣🤣🤣
View attachment 3144079
Gen Z watajua ni kengele....
Charity 😄😄😄Namkumbuka miguel na kale kadem kake kapole nmekasahau jina.
Hii walkman ilikuwa balaa Mziki wa kufa mtu enzi hizo tuko na Mr II, 2Pack, Luckdube, Pepekalee, Bakuba, Mafananyana, Mafura, Kanda bongoman