PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Pu
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Pumbavu.

Mijitu mijnga na mioga kama wewe uwa mnaishia pabaya sana.
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..

Wewe mbona unachati humu na hatukujui?

Unaumia nini watu wakipigwa virungu?

Kaa utulie. Yaani mwaka huu maji mtaita MMA!
 
Maandamano kama haya yalio pita yana waumiza wengi sana this time wamekufa vijana wengi sambuse hiyo siku tena embu jipangeni tena kwa mda mnataka mtu mmoja azike mara tatu au watu zaidi ya mmoja kwa mwaka? Hii sio sawa kabisa jipange kwa mda mrefu na sio hii ya muda mfupi watu vidonda havija pona ninyi mnawaza tena maandamano mnataka kuzidisha vidonda kuweni na huruma
 
Usiogope usife moyo kama umeona wanakufa hata wasio na hatia huu ndio muda wa kwenda wote sasa wakatue maana ukikaa ndani wanakuwa ukitoka wanakuuwa sasa bora twende wote

Na kaa ukijia wameua ndugu zetu kwa kuvizia vizia sasa waje live front watuue
 
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
 
kuonea huruma familia zenu
Wale wanaoibia serikali tayAri wanaua watu sema kwa njia ambayo wewe huijui , inawezekanaje mama mjamzito huko zahanati ya Kijijini anapata shida hakuna vifaaa Bora ama ambulance ya fasta to big hospital road ni mbaya . Madawati walimu hawapo wa kutosha kisa hakuna motisha wao mzuri. Hawa wabunge 116 Bora ilo fungu lingeozeka kwa walimu ama madaktari. Tunataka kiongozi Kama traore afute vyama vya siasa na tume yote kusiwe na wabunge yaani ni kazi kwenda mbele.
Katiba nzuri na iheshimiwe na isiwe kajitabu, kiongozi akileta shit akiwa madarakani akitoka anashtakiwa, Mali zake zifuatiliwe na hakuna kusafiri nje akiwa madarakani na hakuna kutuma pesa huko nje yaani achague atutumikie sisi akiona masharti magumu Kama vipi ahamie Burundi. Iwepo Sheria Kali kwa wanaotumia Kodi vibaya Wala rushwa wanyongwe Kama china Mana wanapokula rushwa nao huwa wanaua wananchi wengine Sasa ni kwa nini na wao wasiuawe.
Yaani Kodi yetu inatumikaje vibaya hakuna adhabu anayopewa aliyeiva pesa zetu Ila wewe huku chini usipolipa Kodi Kuna adhabu Kali hata duka lako unafungiwa na kufilisiwa , yaani wanajifanya wako serious na nchi kumbe wanawapa wawekezaji unafuu kisa wao Wana asilimia zao. Mali ya umma inakuwa ya mtu binafsi kweli unayaona haya ni sahihi. Jpm alisema Kuna miktaba Kama 200 ya ovyo nchii hii kisa mzoga alituuzia nchi.
Hii viti maalumu kweli wengi hawajatoka wapi
 
Usiogope usife moyo kama umeona wanakufa hata wasio na hatia huu ndio muda wa kwenda wote sasa wakatue maana ukikaa ndani wanakuwa ukitoka wanakuuwa sasa bora twende wote

Na kaa ukijia wameua ndugu zetu kwa kuvizia vizia sasa waje live front watuue
Hivi mna fikiria this time ata waacha tena pale alikuwa hana mamlaka kwasababu alikuwa kama mgombea this time ame apishwa hii haiko sawa kabisa watu bado wana omboleza mnataka kuanzisha mengine sio kweli msiba usikie kwa mwenzio usikukute watoto vijana ndoto zina zimika kabisa mwenye nguvu usishindane nae matamko ya UN mpaka sasa hayana impact yoyote kwa yale yalio tokea how hayo yatakayo tokea? Tutazidi kupoteza vijana wetu zaidi
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Hauna akili wewe. Kinjekitile angesema hayo leo hii ungekuwa na huo uhuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…