PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
#MariaSpaces,


‼️🚨ZANZIBAR SECURITY FORCES BROUGHT OVER TO TANGANYIKA FOR DEC 9‼️
I am getting increased report of KMKM Zanzibar forces (non Union and have no jurisdiction in Tanganyika) are being shipped to Tanganyika
This will not end well @SuluhuSamia !

Sasa hizi akili ni za Abdul ama!? Na nyie watanganyika huko polisi na wanajeshi mnaruhusu askari HARAMU wasiotambulika Tanganyika waje wavalishwe sare zenu waue ndugu zenu? Wanaume wazima mmeufyata!? Aibu 🚮 mmekosa uzalendo mko kama mazombie?!
Eniwei wananchi tumetambua tuko peke yetu na tutapambana nao!
Ila hatuwezi kutawaliwa na Kizimkazi Gang na kimama chao!
#D9 #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
 
Wale wenye biashara zenu mjini kabla ya 9/12 mzitoe wananchi wataingia vitani na nawaomba mvumilie nchi ndio inapona.

Niwe tu muwazi kila mmoja anajua watanzania waliouwawa wananchi wengi wana hasira sana hali haitokuwa ya kawaida. hii itakuwa ni kubwa kuliko iliyopita.
 
safari hii wakidondoshwa hawaachwi chini wataokotwa na kutupwa baharini usipomwona tu ndugu yako endelea na maisha
 
Yaliyotokea tarehe 29 nlsababu kubwa ni Jeshi walivurugana huko ndani,labda kama lissu ndio ataongoza hayo maandamano watu watatoka vinginevyo sioni mtu yoyote akitoka.
Kabla ya 29 October ulisikika ukisema hivyo hivyo ila kilichotokea hujasimuliwa umeona mwenyewe kwa macho yako, mkasema ooh waoga wale hawatoandamana kilicho-happen ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…